Tundu Lissu: Mali ikikamatwa, isipokombolewa ni ruksa kupigwa mnada

Lisu meno yote nje kwa furaha ndege za Tanzania zikikamatwa!
Watanzania tudai kodi tuliyotumia kumsomesha Lisu hana faida yoyote kwa taifa.

Kama ndege hazikupigwa mnada enzi ya Magufuli hazitapigwa mnada tena
Kiukweli
 
Hiyo mikataba ilikuwa na faida gani kwenye Nchi yako.

Huyo Lisu kama anaakili angetafuta namna ya kuinusuru nchi yake otherwise ni msaliti tu.
Awafundishe mara ngapi na nyie mmeamua kuwa mburula?
Mnaambiwa kila siku, ili kuinusuru nchi hii inabidi kuiondoa CCM madarakani, kutengeneza Katiba bora na mfumo huru na haki wa kuchagua viongozi lakini bado hamuelewi.
Mnataka afanyeje?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Haiwezekani kwani wanapomdhulumu mwekezaji wanasema kwa niaba ya jamhuri ya Tanzania kwa hiyo jamhuri ni serikali yote
 
Lisu meno yote nje kwa furaha ndege za Tanzania zikikamatwa!
Watanzania tudai kodi tuliyotumia kumsomesha Lisu hana faida yoyote kwa taifa.

Kama ndege hazikupigwa mnada enzi ya Magufuli hazitapigwa mnada tena
Kachambe huko kwani wakati mnafuta mitaba mlioingia wenyewe mliomba wapi ushauri? Mmelikoroga linyweni wenyewe
 
Lisu meno yote nje kwa furaha ndege za Tanzania zikikamatwa!
Watanzania tudai kodi tuliyotumia kumsomesha Lisu hana faida yoyote kwa taifa.

Kama ndege hazikupigwa mnada enzi ya Magufuli hazitapigwa mnada tena
Angalia hili dudu la kijani limeharisha lenyewe unaogopa linakataa kudeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ