jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Mikataba ya kiunyonyaji ni kazi ngumu sana kuivunja,hata Magu alifanya tu ubabe, Mabepari bado wanaitawala Africa kwa njia za nyingi za kiutapeli!!!Hiyo mikataba ilikuwa na faida gani kwenye Nchiyako.
Huyo lisu kama anaakili angetafuta namna ya kuinusuru ncniyake otherwise ni msalititu.