Tundu Lissu: Mali ikikamatwa, isipokombolewa ni ruksa kupigwa mnada

Tundu Lissu: Mali ikikamatwa, isipokombolewa ni ruksa kupigwa mnada

Lisu meno yote nje kwa furaha ndege za Tanzania zikikamatwa!
Watanzania tudai kodi tuliyotumia kumsomesha Lisu hana faida yoyote kwa taifa.

Kama ndege hazikupigwa mnada enzi ya Magufuli hazitapigwa mnada tena
Uchawa umekuzidi mpaka akili zote zimepotea, focus na campaign yenu ya tonge nyama ndio mnachoweza
 
Mimi ninakaa hapa japo kikao kishaanza lakini agenda zote ninazijua
 
Lisu meno yote nje kwa furaha ndege za Tanzania zikikamatwa!
Watanzania tudai kodi tuliyotumia kumsomesha Lisu hana faida yoyote kwa taifa.

Kama ndege hazikupigwa mnada enzi ya Magufuli hazitapigwa mnada tena
Huna akili hata hujui kaongea nini umesoma kichwa cha habari unatoa uharo tu hapo. Hata hao wanaokulipa wakisoma alischosema Lissu na hii post yako wanakudharau sana.
 
Tundu Lissu amesema mali isipokombolewa baada ya kuzuiliwa, itapigwa mnada ili kufidia deni linalodaiwa. Kwa muda gani, inatagemea mkataba Serikali uliongia.

Tundu Lissu alikuwa anajibu swali la mdau aliuliza nini kitatokea kama Serikali itashindwa kulipa deni lililopelekea ndege kukamatwa.
Na pesa ya mnada isipotosha wanakamata nyingine
 
Lisu meno yote nje kwa furaha ndege za Tanzania zikikamatwa!
Watanzania tudai kodi tuliyotumia kumsomesha Lisu hana faida yoyote kwa taifa.

Kama ndege hazikupigwa mnada enzi ya Magufuli hazitapigwa mnada tena
Kukopa harusi kulipa matanga
 
Lisu meno yote nje kwa furaha ndege za Tanzania zikikamatwa!
Watanzania tudai kodi tuliyotumia kumsomesha Lisu hana faida yoyote kwa taifa.

Kama ndege hazikupigwa mnada enzi ya Magufuli hazitapigwa mnada tena
umefufuka naona. ngoja nikutumie picha ya rafiki, Mungu wako
 
Kuna ndege iliyowekwa "lock up"?

Maana drama za nchi yetu nimeacha kufuatilia, nikikosa kusoma habari JF ndio nakuwa sijui chochote kinachoendelea....
 
Hiyo mikataba ilikuwa na faida gani kwenye Nchiyako.
Huyo lisu kama anaakili angetafuta namna ya kuinusuru ncniyake otherwise ni msalititu.
Ainusuru vipi?

Yeye ana mamlaka gani yajuingilia mikataba mliojipangia?

Dawa ya deni nikulipa, usitafunwe ni nyuki ukaonea tumba.

Ni mangapi alikuwa anasaidia kwa kutoa miongozo ya kisheria mkammiminia risasi na kumwita msaliti na leo afanyeje?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Hilo Deni lilipwe tuikomboe Ndege yetu.

Hela yetu Walipakodi huwa haina uchungu lipeni tuondoee hii aibu ya Magufuli.
 
Mikataba ya hovyo mnafanyiana wenyewe kwenye shida mnakimbilia wengine wawasaidie na kuwaita wasaliti.

Na kabla ya kummiminia risasi alikuwa anatoa ushauri mzuri wa kisheria kwa Kila njia mzuri mkaona huyu si mtu mkamshuti na kufurahia hayo leo hii mambo yanatokezea mengine watu wakisema mnakimbilia neno uzalendo.

Kama mnadaiwa lipeni na mtaendelea kushikiliwa mali zenu mpka akili iwakae sawa.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Lisu meno yote nje kwa furaha ndege za Tanzania zikikamatwa!
Watanzania tudai kodi tuliyotumia kumsomesha Lisu hana faida yoyote kwa taifa.

Kama ndege hazikupigwa mnada enzi ya Magufuli hazitapigwa mnada tena
MIGA......sasa vilaza kama nyie ndio mnaelewa alichowafundisha Mbabe wa Sheria za kitaifa na Kimataifa Mh Tundu Lissu
 
ATCL itakuwa inaruka ndani ya nchi tu. [emoji23] south africa mkulima anawasubiri huku mswis anawasubiri mkapeleke ndege china hawa kamate
Laiti kungekuwa na sheria ya kukamatwa kiongozi wa nchi inayodaiwa akienda ughaibuni na kuzuiliwa huko hadi deni litakapolipwa wangekoma kukopa hovyo.
 
Back
Top Bottom