Tundu Lissu: Mali ikikamatwa, isipokombolewa ni ruksa kupigwa mnada

Hiyo mikataba ilikuwa na faida gani kwenye Nchiyako.
Huyo lisu kama anaakili angetafuta namna ya kuinusuru ncniyake otherwise ni msalititu.
Hiyo mikataba inasainiwa chumban
Ikibuma ndiyo wananchi wanajua kama hili
Je wewe unajua tunadaiwa?? Na mswis??

Kwa nn usiseme walio sain washughulikiwe
Wewe unakomaa na lisu??

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kama ni kweli Lissu huwa anafurahia sana maswala ya ndege zetu kushikwa nje.

Why is he doing that? Ana maslahi
Gani na hao wanaozikamata?

Angekuwa Rais by now na ndege zinakamatwa angekuwa anachekelea hivi?
 
Lisu meno yote nje kwa furaha ndege za Tanzania zikikamatwa!
Watanzania tudai kodi tuliyotumia kumsomesha Lisu hana faida yoyote kwa taifa.

Kama ndege hazikupigwa mnada enzi ya Magufuli hazitapigwa mnada tena
Lissu alikwambia anatafuta akufae wewe, kufa kama unaona hakufai wakuzike kama baba yenu
 
Kama ni kweli Lissu huwa anafurahia sana maswala ya ndege zetu kushikwa nje.

Why is he doing that? Ana maslahi
Gani na hao wanaozikamata?

Angekua raisi by now na ndege zinakamatwa angekua anachekelea hivi?

Lipeni tu madeni ya watu. Msilaumu mtu ambaye hayuko serikalini na mmekimbiza nchi yake.
 
Mhe. Lissu angekuwa Daktari wa Binadamu angekuwa anaua wagonjwa kwa mfadhaiko kwa kusema ukweli peupe. The guy is so straight forward, kama ni nyeusi atasema Nyeusi.

Anyways, Kuna Wakati lazima tuvune tulichopanda kama Taifa. Huyu Bwana, kuna Wakati alishauri kuhusu Mikataba ila wenye Mamlaka hawakumpa nafasi ya kusikiliza alichoshauri.
 
Lisu meno yote nje kwa furaha ndege za Tanzania zikikamatwa!
Watanzania tudai kodi tuliyotumia kumsomesha Lisu hana faida yoyote kwa taifa.

Kama ndege hazikupigwa mnada enzi ya Magufuli hazitapigwa mnada tena
Dawa ni serikali kumpa kazi na kumlipa kushughulikia hiyo kesi kama mwanasheria nje ya mwanasiasa tuone itakuaje(mchawi mpe mwana alee)
 
Kama ni kweli Lissu huwa anafurahia sana maswala ya ndege zetu kushikwa nje.

Why is he doing that? Ana maslahi
Gani na hao wanaozikamata?

Angekua raisi by now na ndege zinakamatwa angekua anachekelea hivi?
Mikataba watu wanasaini kwenye maficho vichakani ikibuma wanataka kumlaumu asiyehusika nayo kabisa🤣🤣🤣
 
Lisu meno yote nje kwa furaha ndege za Tanzania zikikamatwa!
Watanzania tudai kodi tuliyotumia kumsomesha Lisu hana faida yoyote kwa taifa.

Kama ndege hazikupigwa mnada enzi ya Magufuli hazitapigwa mnada tena

Kipindi Cha Magufuli ndege tatu zilikamatwa
 
Hiyo mikataba ilikuwa na faida gani kwenye Nchiyako.
Huyo lisu kama anaakili angetafuta namna ya kuinusuru ncniyake otherwise ni msalititu.

Wakati Lissu anawambia tutashatakiwa MIGA mlimcheka , leo mnamlaumu kwa nini hakuinusuru nchi yake.
 
Hzi tetez za ndeg kukamtwa sijasisikia bado Wala hakun Uzi jmn

Kama una Uzi naomba. Link nisome

Mbona upo kuanzia asubuhi. Ndege imekamatwa nchini uholanzi kwa amri ya mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa migogoro ya uwekezaji.
 
Mikataba watu wanasaini kwenye maficho vichakani ikibuma wanataka kumlaumu asiyehusika nayo kabisa🤣🤣🤣
Kwani nani amemlaumu? Kwanini usiende kwenye swali nililouliza. Kwanini tundu anafurahia sana shida za nchi hii! Does that make him eligible to be thé president? For instance angepewa uraisi akakuta kuna madeni yanayotaifisha ndege angeendelea kuchekelea?

Mnakuwaga very irrational. Jibu swali toa mihemko
 
Mbona na nyie mlifurahia alipopigwa risasi?. Lipeni acheni utapeli.
You sound stupid. Hakuna hata mmoja alienijibu kwa hoja. Sasa kupigwa risasi na swali nlilouliza vinahusika nini. Aendelee kuota kuja kuiongoza Tanzania atasaga lami! Patriotism hana!
 
Kwani nani amemlaumu? Kwanini usiende kwenye swali nililouliza. Kwanini tundu anafurahia sana shida za nchi hii! Does that make him eligible to be thé president? For instance angepewa uraisi akakuta kuna madeni yanayotaifisha ndege angeendelea kuchekelea?

Mnakuwaga very irrational. Jibu swali toa mihemko

Nchi gani?. Iliyoshindwa kufanya upelelezi wa yeye kupigwa risasi?. Nchi gani iliyomfukuza ubunge na kutomlipia gharama za afya. Ondoa upuuzi.
 
Sasa alipokuja kugombea uraisi alikua anagombea ili? Si anafurahia hasara ya taifa. Nani ampe uongozi? Endeleeni kuota😂
 
You sound stupid. Hakuna hata mmoja alienijibu kwa hoja. Sasa kupigwa risasi na swali nlilouliza vinahusika nini. Aendelee kuota kuja kuiongoza Tanzania atasaga lami! Patriotism hana!

You are an idiot. Unauliza kwa Nini Lissu anafurahia madhira ya nchi na Mimi nimekujibu mbona na nyie mlifurahia alipopata madhira tena mkamfukuza na ubunge bila hata matibabu.
 
Sasa alipokuja kugombea uraisi alikua anagombea ili? Si anafurahia hasara ya taifa. Nani ampe uongozi? Endeleeni kuota😂

Kuota unaota wewe. Halafu tofautisha ujinga wa serikali ya CCM na Tanzania Kama taifa. Tofautisha government and state.
 
Back
Top Bottom