Tundu Lissu: Maoni yangu juu ya Shambulio dhidi ya Freeman Mbowe

Mimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao.
Mwenyenzi Mungu amekupa akili ya kutosha sana, lakini kwa makusudi au labda kwa kutokujua, unatumia kiasi kidogo sana cha hiyo akili! Na hata hicho kiasi kidogo unachotumia, unakitumia vibaya!
 
Yaani Interahamwe wameona bora kumvunja MGUU Mwamba ili Ku Spin Mkutano wa Lissu wa kutangaza nia ya kugombea urais.
 
Chadema mmezidi.kuhuniana, kipindi Fulani mlimpiga Rwakatare, mlinzi wa Dr. Slaa na jaribio la sumu kwa @ Zitto
Umesahau na chacha wangwe Ben sanane na yule msimamizi wa mashamba ya mbowe kilosa
 
Mimi sio mwanachama wa Chadema, siipendi wala sivutiwi na sera za chama hicho. Ila kitendo hiki binafsi nimeumia sana. Nimeumia kama biniadamu kwa kitendo cha biniadamuu mwenzangu kudhurika. Pole Mbowe. Pona haraka tuje tupambane kwenye ulingo wa siasa.

Tuna imani kubwa na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Ni vyombo vilivyojawa watendaji wenye weredi mkubwa. Tunaamini punde majahili waliotekeleza kitendo hiki ovu watatiwa mbaroni na sheria itachukua mkondo wake.
 
Mtu yupo ulaya snasema atatoa kauli ,Njoo nyumbani acha kuisema nchi vibaya Kua mzalendo ,Tumuunge Raisi wetu Magufuli amefanya mambo makubwa sana kwa Watanzania
 
Yaani ni kuchagua kuunga mkono juhudi, kuacha siasa au kuwa MUASI.
 
Mtu yupo ulaya snasema atatoa kauli ,Njoo nyumbani acha kuisema nchi vibaya Kua mzalendo ,Tumuunge Raisi wetu Magufuli amefanya mambo makubwa sana kwa Watanzania





kweli..makubwa,

lakini yanayofunikwa na machache ya hovyoo yaliyokosa uchaji NA utu
 
Mimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao
Hujui unachokisema umeamua kusema lakini kaeni mkijua kuwa hamtaendelea kutu huzunisha kila siku!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…