Pre GE2025 Tundu Lissu: Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yangu ili waniondoe, nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbona Lisu akiongea juu ya ufisadi wa Viongozi wa ccm huwa hamsemi alete ushahidi?

Hivi Mbowe aliwapoka akili zenu mazima?
 
Chama cha familia ya Mbowe ama siyo
 
Mbowe ni ccm b
 
Tundu Lissu anasema Mbowe ndiye aliyemtuma Wenje agombee nafasi ya Makamu Mwenyekiti, "nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma"


Your browser is not able to display this video.
 
Safi sana Lissu amenyooka

Finya kabisa hapo hapo hadi vibaka wanaokula kwa Abdul na kulala Chadema !
 
Ndio maana Jana John Heche akasema kwamba wamefika hapo walipo kwa sababu ya huyo Wenje, sasa picha limeanza kuchezwa hadharani, hawa Mbowe na Wenje sijui wana D ngapi?
 
Kama anamdharau mgombea mwenzake sisi tusiokuwa na chama SI itakuwa balaa
 
Ona sasa ,Mbowe kafungwa Gerezani makam wake ndo alikua anaongoza chama na harakati zingine ili Mbowe awe huru, leo anataka mzunguka pitia mlango wa nyuma , hii ni dhambi kubwa sana aisee
 
"Alikuwa Anaandaa Mazingira ya Kulazimishwa"
Panazidi kuchangamka,Tunahesabu tu siku ,si ajabu kuna kugawana mbao muda siyo mrefu.
Hii kauli watu wanaipotozea lakini ndio msingi wa fujo zote hizi katika nafasi ya uenyekiti.

Kwa siku tatu Lisu anasema anagombea. Mbowe anasema bado sijaamua.

Mimi naona kabisa hata yeye Mbowe alikuwa hataki kugombea ,ni basi tu hana namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…