Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Mbona Lisu akiongea juu ya ufisadi wa Viongozi wa ccm huwa hamsemi alete ushahidi?Lissu ameshindwa kuthibitisha kama Wenje alikula pesa za Abduli. Alipobanwa akajitetea kuwa mwenye ushahidi ametutoka.
Mtu ambae unaweza kuhisi kwa kiasi kikubwa kuwa alifaidika na hizo pesa ni Msigwa ambae ni rafiki yake mkubwa. Kama ni mkweli kama anavyo tuaminisha anashindwa nini kutuambia Msigwa alitoa wapi pesa za kugombea uchaguzi wa kanda ya Nyasa?
Amandla...
Hivi Mbowe aliwapoka akili zenu mazima?