Jimbo la Tundu Lissu lina shule 15 tu ambazo zote hazina maabara, na mbunge wa jimbo hilo ''Tundu Lissu " ndie amekuwa mstari wa mbele kuwahimiza wananchi kutotoa michango kwa ajili ya maendelea yao binafsi akidai kua serikali ina pesa za kutosha za kuwajengea maabara.
Source: New star tv .
Hivi kweli kila jimbo likingoja mradi wa serikali kufika .. Kuutakua na maendelea nchi hii .
Wajinga watakupinga ila ujumbe umefika, na ni aibu kubwa sana kwani yupo hodari kupayuka majukuani tu na kwake maendeleo karibu na ziro, ukichunguza vizuri unaweza kuta shule hizo alizikuta.
This is too muchlisu toka awe mbunge hajawahi kukanyaga jimboni kwake..Wapiga kura wake wanamuona tu kwenye tv na kumsoma kwenye magazeti akimtukana baba wa taifa
Hilo unajua wewe, miaka minne ni mingi sana, kafanya nini sasa kwa hiyo miaka minne? kwa maana ubunge ni miaka mitano tu, aache ujinga hawez kuongoza aachie wengine.
MSALANI hii nayo ni singida?
Tumkatae kabisa kazi makelele tu kila sikuHamna mwenye time nayo, zaidi ya walala hoi. Achana nae huyo tundu lisu asikupotezee muda
Kwanza arudi kwa mabepari wenzake ubelgijiNaunga mkono hoja