Influenza
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,509
- 3,756
Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amesisitiza hatua za kisheria zichukuliwe juu ya wanaofanya utekaji pamoja na mauaji nchini.
Pamoja na hayo Lissu amesisitiza kuwa msimamo wa chama chake juu ya kuandamana tarehe 23 Septemba bado uko pale pale kwani sheria za Tanzania hazijazuia kuandamana.
Tundu Lissu amezungumza hayo baada ya kushiriki Kongamano la Tano la Ekaristi Takatifu Kitaifa lililofanyika Uwanja wa Taifa wa Uhuru Dar Es Salaam.
Pia soma: Maaskofu Katoliki: Tunu yetu ya amani nchini imeshambuliwa kutokana na matukio ya watu kutekwa na kuuawa ya hivi karibuni
Lissu amesema “Nchi hii inahiyaji uponyaji, Mababa Askofu and amesema nchi hii inahitaji uponyaji ili tusitekwe tena, tusiteswe tena, tusiuawe tena. Undugu uponya”