Pre GE2025 Tundu Lissu: Msimamo wetu upo pale pale, tutaandamana Septemba 23, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naishauri CDM kutokana na sintofahamu ya kukatwa kwa viongozi wake, Mwenyekiti hana budi aitishe kikao cha dharura kufikiria jambo la maandamo upya ikiwezakana yasimame kwa muda.​
 
Huu ndiyo mlango unaotaka kutumiwa na viongozi Waovu kwa taifa letu kimataifa.
Viongozi hao mtaji wa mkubwa ni maafa na vifo kwa watanzania mbumbumbu.

Nchi inapokuwa katika hali ya Utulivu na masikilizano, kwao hali hiyo huwa si ya afya na uendelevu wa vyama vyao.

Taifa letu litakapotumia nguvu kubwa ambazo zitasababisha vifo, huo ndio utakuwa mtaji kwao.

kwani vyama vyao bila kujitingisha ili damu imwagwe havisongi mbele.

Kwani baada ya vifo kutokea na unrest vyama hivyo humwagiwa fedha za kutosha na hapo viongozi hufaidika Unono.

  • Rungu ziwepo za kutosha
  • Washawasha yafanyiwe service,
  • Polisi makuluta wenye ghazabu wawe standby

CHADEMA MAONGEZI NDIYO NJIA BORA NA SALAMA ZAIDI, TII KANUNI, TARATIBU NA SHERIA ZA JAMHURI.
Ijumaa kareem I
 
Sifa nzuri ya taifa letu ni ipi??
 
Kumshusha kiongozi wa chama cha siasa kwenye basi kwa mtutu wa bunduki, na kumuua na kumtupa, haichafui sifa nzuri ya taifa letu?
 
Unakuta hapo umevaa kashati ka kijani na suruali nyeusi na simu ya mkopo unakuja kuonesha upumbavu wako hapa
 
Lengo kuu la maandamano haya ni kuchafua sifa nzuri ya Taifa letu.​

📌🔨🔨
 
Huu ndiyo mlango unaotaka kutumiwa na viongozi Waovu kwa taifa letu kimataifa.
Viongozi hao mtaji wa mkubwa ni maafa na vifo kwa watanzania mbumbumbu.

Nchi inapokuwa katika hali ya Utulivu na masikilizano, kwao hali hiyo huwa si ya afya na uendelevu wa vyama vyao.

Taifa letu litakapotumia nguvu kubwa ambazo zitasababisha vifo, huo ndio utakuwa mtaji kwao.

kwani vyama vyao bila kujitingisha ili damu imwagwe havisongi mbele.

Kwani baada ya vifo kutokea na unrest vyama hivyo humwagiwa fedha za kutosha na hapo viongozi hufaidika Unono.

  • Rungu ziwepo za kutosha
  • Washawasha yafanyiwe service,
  • Polisi makuluta wenye ghazabu wawe standby

CHADEMA MAONGEZI NDIYO NJIA BORA NA SALAMA ZAIDI, TII KANUNI, TARATIBU NA SHERIA ZA JAMHURI.
Ijumaa kareem I
Maandamano yamerusiwa na katiba
 
AMANI.png
 
Unakuta hapo umevaa kashati ka kijani na suruali nyeusi na simu ya mkopo unakuja kuonesha upumbavu wako hapa
Truth must told, hiyo ndiyo hali halisi, CCM haitaruhusu milango mnayoitaka ifunguke, kamwe!,
""stop using innocent pain and blood, for party nourishment""
Mnashawishi watoto wa masikini waandamane ilihali watoto wenu wanasoma ulaya. Kwa Utulivu.
 
Hivi si mwenyekiti mbowe kasitisha maandamano? Au ni maandamano ya nchi gani?
 
Back
Top Bottom