Pre GE2025 Tundu Lissu: Msimamo wetu upo pale pale, tutaandamana Septemba 23, 2024

Pre GE2025 Tundu Lissu: Msimamo wetu upo pale pale, tutaandamana Septemba 23, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuenda kinyume na Madhabahu ni jambo hatari sana.I hope vyombo vya habari vimequote vibaya

Bado upo kwenye ujinga wa kale? Hivi kuna mahali kwenye kongamano la Ekaristi, ilinenwa kuwa mtu hatakiwi kuandamana kuidai haki?

Mungu wetu ni Mungu wa haki. Kitafuta haki na kuzuia uovu kama huu unaofanywa na setikali wa kutrka na kuua wakosoaji, na tendo jema na takatifu, kwa sababu unatetea uhai wako na wa binadamu wenzako.
 
Wananchi tuko bega Kwa bega kuandamana ili kupinga utekaji wa watu hovyo.
 
Ni haki yao kuandamana na si haramu. msaidieni ayaache yafanyike kwa amani. Samia usiandike historia ya kuua wau wengi kama Idd Amin!
 
Condition ni Moja tu Kwa Chadema, kusitisha maandamano yao................

Ni Kwa Jeshi la Polisi kuwarejesha kina Soka kabla ya tarehe 21 mwezi huu

Kinyume Cha hapo maandamano yako pale pale na Polisi, wanatakiwa kutimiza wajibu wao Kwa kuyalinda maandamano hayo Kwa mujibu wa Katiba ya nchi
Huo ni mtego wakipatikana au wasipatikane hawawezi kuacha kutuhumiwa. Huo ndio ubaya wa kuingizwa mkenge na wanasiasa ukaacha majukumu yako.
 
Tundu Lissu alishambua kwa risasi zaidi ya 30, Mbowe kakaa mahabusu miezi mingi tu, Lema pia. Wakina Soka hawajulikani walipo, Ben Saanane habari yake haieleweki. Juzi juzi viongozi wa CHADEMA wamepigwa kama wezi kule Mbeya. Lakini bado wanaandama.

If you are smart enough you will realize that, this is no longer a work of man, It's a work of GOD.

Kila ushetani unaouwazia uwakute, utaanza kwanza kwako kabla haujawafikia.
 
Back
Top Bottom