Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amesisitiza hatua za kisheria zichukuliwe juu ya wanaofanya utekaji pamoja na mauaji nchini.
Pamoja na hayo Lissu amesisitiza kuwa msimamo wa chama chake juu ya kuandamana tarehe 23 Septemba bado uko pale pale kwani sheria za Tanzania hazijazuia kuandamana.
Tundu Lissu amezungumza hayo baada ya kushiriki Kongamano la Tano la Ekaristi Takatifu Kitaifa lililofanyika Uwanja wa Taifa wa Uhuru Dar Es Salaam.
Lissu amesema “Nchi hii inahiyaji uponyaji, Mababa Askofu and amesema nchi hii inahitaji uponyaji ili tusitekwe tena, tusiteswe tena, tusiuawe tena. Undugu uponya”
Makamu Mwenyekiti huyo wa Chadema amesisitiza kwamba Kuonekana kwao Jukwaa moja la Kikatoliki na Emmanuel Nchimbi wa CCM hakutasitisha Maamuzi ya Chama chao ya kuandamana tarehe 23/09/2024, kwa lengo la kupinga Utekaji na Mauaji.
Lissu alikuwa akijibu swali la Mwandishi wa habari aliyetaka kujua kama kukwea Jukwaa moja na Nchimbi kunaweza kushawishi Chadema kusitisha Maandamano kabambe ya Maombolezo .