Tundu Lissu na wenzake waachiwa kwa dhamana

Wengine ikishavuka ijumaa hamna dhamana. Imekuwaje kwa TAL na wenzake?
 
Ngoja kwanza, nitarudi badae kukomenti
 
Naamini katika utawala wa Samia kuna kundi kubwa lipo kwaajili ya kumwaribia.

Walianza na kuuza Bandari.
Wakuuza KIA
Wakauza misitu
Wanamkamata Lissu kijinga bila sababu za maana.
 
Dhamana hutolewa siku zisizokua za wikendi,namna gani pale kwa TAL?
 
Akili za polisi wetu aibu sana,
Ni watu kama vijana wanaocheza singeli au mdundiko!
Siku zote wanatsfuta kiki za kijinga, yaani wana operate kama kuku asiye na kichwa!
Wiki hii vijana wa jwatz walipita maeneo mbali mbali wakichukua mabegi na nguo zenye kufanana na nguo zao, sasa kwa akili ndogo tu, kwa vile hizo nguo hazikutoka wala kuibiwa jeshini,ilibidi zichomwe moto! Sasa makenge Yale na umaskini wao utakuta yamezibeba yameenda kugawana!
Tatizo LA kuajiri vilaza failures wa form 4 div 4!
 
Chekbob la kanda ya Kaskazini bado limegoma kabisa kuibuka 🤓🤣
 
Kitu hawajui ni kwamba kuwakamata ni kuwaongezea umaarufu na mwendo, kuna watu walikua hawajui kama yuko ngorongoro lakini baada kukamatwa wamejua, wamewapa na topic nyingine ya kusimanga "Siri kali ya bi kidude"
 
Na hii ni lini
👇
 
Kitu hawajui ni kwamba kuwakamata ni kuwaongezea umaarufu na mwendo, kuna watu walikua hawajui kama yuko ngorongoro lakini baada kukamatwa wamejua, wamewapa na topic nyingine ya kusimanga "Siri kali ya bi kidude"
Yes watu wamejua pia kwamba jamaa hashauriki na hasikilizi mtu.

Yes watu wamejua kua viongozi waandamizi kitaifa wamejitenga nae.

Yes wamejua kua jamaa kawaambia waandamizi wenzie kwamba waeendelee tu na kazi zao binafsi yeye anaweza kupiga kazi bila msaada wala ushauri wao.
 
Good news!.
Asante
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…