Nakataa sio kweli iko siku utajua ukweli
Mawazo ya kipuuzi hayo kama ya TL
Hata yesu alichafuliwa
Na wewe endelea kusujudu akinamamaBaki unasujudia wanaume wenzako.
Hivi hujisikii aibu kusema anazungumza na watanzania? Kama Nani kwamfano, sema atazungumza na wanachama wa Sacco's ya mtaa wa ufipa
USA wasingekuwa wanafanya chaguzi kwakuwa ulivyovitaja tangu miaka ya 50 walikuwa navyoAir Tanzania imefufuliwa, SGR imekamilika zaidi ya 80%, Stiglers Gorge inakamilika punde, vijana Wanapata mikopo kusoma Elimu ya juu, ELIMU BILA MALIPO(Darasa la kwanza-kidato Cha nne) Watazania hawataki Maandamano na Malalamiko.
Maendeleo ndo muhimu. Hayo majibizano mpelekee Munyika aliyetoka Berenge KibambaUSA wasingekuwa wanafanya chaguzi kwakuwa ulivyovitaja tangu miaka ya 50 walikuwa navyo
Kioenzi cha nyumbu siyo watanzania. UsinihusisheNjoo kipenzi cha watanzania, Tanzania inakusubiri kwa hamu.
Ukoo wako una hasara ya kukusomesha, eti ndege, sijui bwawa na sgr ndio vinakupa kichwa jiwe lisitokeMaendeleo ndo muhimu. Hayo majibizano mpelekee Munyika aliyetoka Berenge Kibamba
Ndio hoja mnazoweza kumjibu hizo Lakin si kwamaneno ya kumshinda kihoja.Hapa sio mahakamani subiri atue nchini ndipo atajua vizuri akishadakwa.Maelezo yote mahakamani sio Jamii forums.Akidakwa akifikishwa Segerea siku kesi ikipangwa ndipo atajua makosa yake.Anakaribishwa Segerea
Hebu tutupie clip hiyo aliyosema atalindwa na walinzi kutoka UN sisi wengine hatujaiona.Jamani mimi simuelewi huyu mtu kwani alishasema anarudi nyumbani na atasindikizwa na walinzi kutoka UN sasa leo anaomba ulinzi wa polisi wa bongo jee wale wa Un wameahirisha?
Kuja au kutokuja kinachokuuma nini hasa kutoka kwake?Kikwetu mgeni aija kwako ukaona anaaga aga mara mbili mbili kuwa naondoka unajua huyo hataki kuondoka kanogewa na kwako hataki kuondoka kwako...
Hata wewe umtamzania wacha shobo zako.Sasa asiseme watanzania wote aseme tu wana Sacco's wa mtaa wa ufipa halafu jasusi anaingia bungeni iwe kwa Jimbo Hilo Hilo au kwa kuteuliwa weka akiba ya maneno bibie madeko[emoji23]