Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Narudi kama Mwananchi huru tarehe 27 Julai 2020, Serikali inipe Ulinzi. Kesi zangu 6 zina dhamana, sitakamatwa

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Narudi kama Mwananchi huru tarehe 27 Julai 2020, Serikali inipe Ulinzi. Kesi zangu 6 zina dhamana, sitakamatwa

Nakataa sio kweli iko siku utajua ukweli

Ukweli zaidi ya uliopo? Kwa taarifa yako hata Tundu Lissu mwenyewe akibadilisha maelezo na kuleta maelezo tofauti na ukweli, bado tutamuona hana jipya. Ukweli ni ukweli, hata mtumie nguvu kubwa kupita kiasi, bado haubadiliki.
 
Mzee wa Dunia ina fahamu, Sijui ana maana gani akisemaga hivi 🙄
 
Hivi hujisikii aibu kusema anazungumza na watanzania? Kama Nani kwamfano, sema atazungumza na wanachama wa Sacco's ya mtaa wa ufipa

You are absolutely ignorant...

Wewe unaandika hapa ili usomwe na watanzania wenzako kama nani???

Wewe ni wazi kabisa ni mwanafunzi wa form TWO katika moja ya shule za kata ambako wanafunzi wanakaririshwa mambo kwa sababu hakuna vitabu....

Maana una argue mambo like one of them...!!
 
Good timing, wkt Lumumba wanaparulana kwenye kura za maoni, jembe linakuja kuweka mzani sawia, najua Dodoma hakulaliki leo
 
Air Tanzania imefufuliwa, SGR imekamilika zaidi ya 80%, Stiglers Gorge inakamilika punde, vijana Wanapata mikopo kusoma Elimu ya juu, ELIMU BILA MALIPO(Darasa la kwanza-kidato Cha nne) Watazania hawataki Maandamano na Malalamiko.
USA wasingekuwa wanafanya chaguzi kwakuwa ulivyovitaja tangu miaka ya 50 walikuwa navyo
 
Hapa sio mahakamani subiri atue nchini ndipo atajua vizuri akishadakwa.Maelezo yote mahakamani sio Jamii forums.Akidakwa akifikishwa Segerea siku kesi ikipangwa ndipo atajua makosa yake.Anakaribishwa Segerea
Ndio hoja mnazoweza kumjibu hizo Lakin si kwamaneno ya kumshinda kihoja.
 
Jamani mimi simuelewi huyu mtu kwani alishasema anarudi nyumbani na atasindikizwa na walinzi kutoka UN sasa leo anaomba ulinzi wa polisi wa bongo jee wale wa Un wameahirisha?
Hebu tutupie clip hiyo aliyosema atalindwa na walinzi kutoka UN sisi wengine hatujaiona.
 
Kikwetu mgeni aija kwako ukaona anaaga aga mara mbili mbili kuwa naondoka unajua huyo hataki kuondoka kanogewa na kwako hataki kuondoka kwako...
Kuja au kutokuja kinachokuuma nini hasa kutoka kwake?
 
Sasa asiseme watanzania wote aseme tu wana Sacco's wa mtaa wa ufipa halafu jasusi anaingia bungeni iwe kwa Jimbo Hilo Hilo au kwa kuteuliwa weka akiba ya maneno bibie madeko[emoji23]
Hata wewe umtamzania wacha shobo zako.
 
Back
Top Bottom