Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Narudi kama Mwananchi huru tarehe 27 Julai 2020, Serikali inipe Ulinzi. Kesi zangu 6 zina dhamana, sitakamatwa

Huyo nae Kama anakuja basi aje..... Hizo biti zake za mtandaoni kila siku amekazana kusema anakuja kama sista P na hafiki
 
Watanzania wa mitandaoni au.
 
Waliotaka kumuua hawana kesi?
 
Hivi Nani anamshaur Fundi Lieu?
 
Hivi Nani anamshaur Fundi Lisu?
 
Anataka kuwatoa watu kwenye reli nini?

Habari ya mjini kwa sasa ni kura za maoni CCM,huo utopolo atausikiliza nani?

Kama anakuja si aje, ratiba yake inawasadia nini watanzania?
 
he moto moto,uchaguzi wa mwaka huu utakua mtam sana
 
Kagairi kurudi kaamua kumuunga mkono membe akiwa huko huko ubelgiji
 
Pole sana Kipara...kigamboni wamekutia sana hasira..
Nchi nzima ipo kwenye furaha kubwa isipokuwa wewe na le mtumboz tu [emoji23] [emoji23][emoji23]
Nafurahi kuwa ccm ni chama dume nchi imesima kufuatilia yanayoendelea!
 
Lissu sometimes awe na akili, alie mwambia kuhutubia chadema ni sawa na kuhutubia taifa ni nani???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…