Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlipotaka kumuua na mungu akamnusuru maana yake ni CCM vs God's will.
Mungu against CCMHuyo nae Kama anakuja basi aje..... Hizo biti zake za mtandaoni kila siku amekazana kusema anakuja kama sista P na hafiki
Punguza hasira za kushindwa kwa Bashite ndugu.Ana faida gani kila siku anazungumza anachozungumza hakieleweki!
Watanzania wa mitandaoni au.M/Mkiti wa CHADEMA Taifa(B),Mhe.Tundu Lissu, Julai 21, 2020 saa 7.00 mchana atazungumza na Watanzania, atakapohutubia taifa kuhusu safari ya kurejea nyumbani baada ya kuwa nje ya nchi takriban miaka 3 kwa matibabu, tangu aliponusurika jaribio la mauaji, Sep' 7, 2017, Dodoma-Tumaini Makene on twitter.
View attachment 1512217
Mimi sio CCM na hivyo sina ushabiki wa vyama na muhimu kabisa ni kuwa sijui Bashite ni kitu gani, simtambui.Punguza hasira za kushindwa kwa Bashite ndugu.
Waliotaka kumuua hawana kesi?Ana mamlaka Gani. Sema atazungumza na nyie. Acheni kumkuza mtuhumiwa. Na Ndo Hapo mnabore. Mnajua Ukweli kabisa. Ila mnapenda kulia Lia kama vigoriiiii. Ana kesi halali ya 2017 hata kabla hajasafiri. Kesi kama Hizo walizoshinda wakina Zitto nk. Lakini lazima ipite process. Hapo wala msitetee ujinga.
Hivi Nani anamshaur Fundi Lieu?M/Mkiti wa CHADEMA Taifa(B),Mhe.Tundu Lissu, Julai 21, 2020 saa 7.00 mchana atazungumza na Watanzania, atakapohutubia taifa kuhusu safari ya kurejea nyumbani baada ya kuwa nje ya nchi takriban miaka 3 kwa matibabu, tangu aliponusurika jaribio la mauaji, Sep' 7, 2017, Dodoma-Tumaini Makene on twitter.
View attachment 1512217
Hivi Nani anamshaur Fundi Lisu?M/Mkiti wa CHADEMA Taifa(B),Mhe.Tundu Lissu, Julai 21, 2020 saa 7.00 mchana atazungumza na Watanzania, atakapohutubia taifa kuhusu safari ya kurejea nyumbani baada ya kuwa nje ya nchi takriban miaka 3 kwa matibabu, tangu aliponusurika jaribio la mauaji, Sep' 7, 2017, Dodoma-Tumaini Makene on twitter.
View attachment 1512217
Tumemisi vibaya sana.Kabisaaaaaah mpendwa wetu tume mmic mnoooh
Kuna mstari umemtaja huyo mtu!Punguza hasira za kushindwa kwa Bashite ndugu.
he moto moto,uchaguzi wa mwaka huu utakua mtam sanaM/Mkiti wa CHADEMA Taifa(B),Mhe.Tundu Lissu, Julai 21, 2020 saa 7.00 mchana atazungumza na Watanzania, atakapohutubia taifa kuhusu safari ya kurejea nyumbani baada ya kuwa nje ya nchi takriban miaka 3 kwa matibabu, tangu aliponusurika jaribio la mauaji, Sep' 7, 2017, Dodoma-Tumaini Makene on twitter.
View attachment 1512217
Pole sana Kipara...kigamboni wamekutia sana hasira..Kuna mstari umemtaja huyo mtu!
Nafurahi kuwa ccm ni chama dume nchi imesima kufuatilia yanayoendelea!Pole sana Kipara...kigamboni wamekutia sana hasira..
Nchi nzima ipo kwenye furaha kubwa isipokuwa wewe na le mtumboz tu [emoji23] [emoji23][emoji23]