Ngandema Bwila
JF-Expert Member
- Sep 8, 2010
- 1,017
- 258
27% ya mshahara wangu inakatwa kodi, niknunua luku nakatwa kodi, nikilipia bill ya maji nalipa kodi, huo mwendo kasi wenyewe nauli yake kuna kodi, ukinunua maji unalipa kodi , ukinywa bia kuna kodi, Kwa hiyo kila Mtazania analipa kodi ndiyo zinazo kusanywa na serikali ( siyo CCM ) kujenga shule , vituo vya afya , kununua ndege na umeme. Mimi na wewe tunapaswa kuhoji ubora wa hivyo vitu vinavyo fanywa na serikali kwa fedha zatu. Inawezekana hufanyi kazi na unanuliwa vitu vyote ndio maana uanaona CCM imekufanyia hisani ya vitu vyoteAtapita kila kwa kila ilichotengeneza ccm roho inamuuma hadi anaugua tene
Atapita kila kwa kila ilichotengeneza ccm roho inamuuma hadi anaugua tene
Dar ina watu takribani milioni 6 na wafanyakazi wanaweza wasizidi laki na nusu,Dar waoga wengi na wanafiki ila wanampenda sana subiri tarehe 28 ,ujue dar wengi wameajiriwa,huyo muhutu alitujaza uoga tunaogopa kuonyesha hisia zetu kulinda vibarua ila lissu anakubalika
Pole sana, nakwambia utajiliwaza sana; najitahidi kupandisha video hapa inanigomea, but ujumbe utaupata tu...leo leo.Nipo kariakoo acha uongo
Haki ya kugombea anayo ila kwa matendo na maneno yake hajafikia ukomavu wa kukabidhiwa dolaNdio atakua rais si et eeh🤣
Mkuu Lisu anakuangusha sana! Angalau nliona una misimamo flani ila hizi harakati za Lisu zina tofauti gani na zile za Lowasa?Ahaaaa ahaaaa, ikifika wakati wa kura mnasema wapiga kura hawako mijini bali wako vijijini ambako ndio ccm inashindia. Ila wakati wa kiki inakuwa kinyume chake!
Ndugu nipo hapa kariakoo watu wanamshangaa tu. Lisu ni wa kawaida sanaPole sana, nakwambia utajiliwaza sana; najitahidi kupandisha video hapa inanigomea, but ujumbe utaupata tu...leo leo.
Serikali ngapi Duniani wanakula kodi za wananchi na hawajengi lolote kwaajili ya Taifa?Serikali imetumia kodi kujenga
Nikuwekee kwanza hii picha uache kelele zako, walinzi wake jasho linawatoka.Ndugu nipo hapa kariakoo watu wanamshangaa tu. Lisu ni wa kawaida sana
Acha umama kodi setu hizi.pili mwendikasi ni ya jkKWELI MAMBO YA MAGU MNAYAKUBALI
Baada ya wizara na mashirika ya umma makao makuu kuhamia Dodoma Dar es salaamu waajiri serikalini hawafiki hata elfu 20 sababu wengi waliobaki ni walimu wa shule za misingi ,sekondari na vyuo, polisi na wanajeshi.Ni idadi ndogo mno ya waajiriwa serikalini waliobaki DARDar ina watu takribani milioni 6 na wafanyakazi wanaweza wasizidi laki na nusu,
Je hao milioni 5.85 wote wanaogopa nani?
Acha uongo wako.
Sasa huoni kama watu wanamshmgaa tu hapo? Hata akifika Lipumba hapo itakuwa hivi hiviNikuwekee kwanza hii picha uache kelele zako...View attachment 1592980
Nimekwambia wewe sindano yako ni video, tulia utaipata, kwa Lissu hakuna kujiliwaza.Sasa huoni kama watu wanamshmgaa tu hapo? Hata akifika Lipumba hapo itakuwa hivi hivi
Ni hela yetu wanachi sio za baba yake na jiweAtapita kila kwa kila ilichotengeneza CCM roho inamuuma hadi anaugua tene
Kodi inakuwa yako ikiwa mfukoni mwako pumbaf ww. Ukishafanya malipo inakuwa mali ya Serikali.We ni BONGOLALA kweli, hiyo ni KODI yetu.Sijapatata kuona poor seasoning kama yako.
Shame shame on you![emoji1787][emoji1787]
Nilidhan utasema Deni lako binafsi, maana ndilo hilo laeza kufanya ujitundike.MKuu hawa CCM ni matajiri sana, kila kitu wanafanya kwa hela zao.
Mimi nazani watusaidie kulipa deni la taifa basi kama ni matajiri hivi.
Sioni lolote la ajabu hapo, maana kazuiwa kufanya kampeni, hivyo si vibaya akiingia sehemu za public maana kura ni za hao hao kuliko kujifungia ndani.Mkuu Lisu anakuangusha sana! Angalau nliona una misimamo flani ila hizi harakati za Lisu zina tofauti gani na zile za Lowasa