Kati ya Magufuli na Lisu nani mlopokaji?au ulopokaji ukoje?hafai kuwa rais...nchi haiongozwi na mlopokaji inahitaji mtu mwenye busara tundu lissu hajapewa nchi hivi anaropoka akipewa nchi si atagombana na nchi zote.
Jambo lipi lililomshinda TLS,Tuanzie hapo kwanzaMkuu Paskali, hata Tundu mwenyewe anajua kuwa ni mzuri sana kwenye nafasi ya kuongea hovyo na kukosoa lakini si utekelezaji. TLS sasa imeshamshinda,hakuna linalofanyika kwa manufaa ya wanasheria.
Uongozi haupimwi kwa kuongea bali vision na vitendo kukamilisha hiyo dream Magufuli ni kiongozi mwenye dhamira ya kweli ...hata nyerere katika kipindi chake cha uongozi walikua wanamchukia sana ..ila leo hii ni dhahabu.. time will tell ni wakati mzuri sasa kwa wasomi na watu wenye dhamira ya kweli kwa nchi kufanya mabadiliko ya kimfumo na kama haitafanyika kipindi hiki cha J PM tusahau nchi ya ahadi tutabakia misri na kulalamika tu...
MaGu sio mungu ila shida ni kwamba huko mlipo hamna kichwa cha kukismamisha zaidi ya wapiga debe tu na wachumia tumbo. Wekeni mtu makini mwenye busara na vision zake watu watamuona tu. Wala haihitaji nguvu za kugombania airtime na kudhalilishana. Mbona Mghwira hakujulikana ila alijizolea umaarufu sana punde tu baada ya campaigns kuanza. Leteni watu wa kaliba ile then ndio muongee ongee kuhusu kumshusha uncle.Kwanza kwanini Magufuli mnamuona kama Mungu? Ivi si aliomba Kura au alishushwa kama Malaika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lilianza pale vita ya dawa za kulevya ilipoanza maana ilionekana lengo la vita ile ni kuua upinzani hapo ndipo watu walipopata hasira.Kingine kilichoondoa imani ni vita ya vyeti feki.Ilionekana ni watumishi wasiokuwa na kauli tu ndio wanaguswa.Wengi waliuliza why jeshi na polisi hawagusi huko?Ikaonekana ni uonevu.Kingine ilionekana kuna upendeleo kwa baadhi ya wateule wake kama Bashite.Kama angesawazisha haya mapema hakika njia yake ingekuwa nyeupe na safi.Uongozi haupimwi kwa kuongea bali vision na vitendo kukamilisha hiyo dream Magufuli ni kiongozi mwenye dhamira ya kweli ...hata nyerere katika kipindi chake cha uongozi walikua wanamchukia sana ..ila leo hii ni dhahabu.. time will tell ni wakati mzuri sasa kwa wasomi na watu wenye dhamira ya kweli kwa nchi kufanya mabadiliko ya kimfumo na kama haitafanyika kipindi hiki cha J PM tusahau nchi ya ahadi tutabakia misri na kulalamika tu...
Hao Ndiyo Wanaisumbua Tanzania Kwasasa
Huyu aliyepo [emoji84] unasemaje...hafai kuwa rais...nchi haiongozwi na mlopokaji inahitaji mtu mwenye busara tundu lissu hajapewa nchi hivi anaropoka akipewa nchi si atagombana na nchi zote.
Hivi kumbe kwenye urais kuna personality ya kumfanya mtu awe rais?. Jee personality hiyo ikoje?, na jee marais wetu wote wanayo?.Hahahahaha,asimame tu,yaani CCM inashinda bila jasho.Huyo Lissu hana personality ya kumfanya awe Rais.
Madam Mwajuma, hapa umezungumzia vita na kujiuliza Lissu itakuwaje, jee mpaka sasa bado unajiuliza sijui itakuwaje, au sasa swali ni imekuwaje?.Tatizo la Lissu ni kupitishwa na Mbowe. Atamshawishije Lowasa? Halafu si itakuwa vita juu ya vita yaani Lissu sijui itakuwajee!!!!!!! .
Jee inawezekana sababu za zile pyu pyu ni siasa za TLS na sio sababu za ukosoaji wa serikali?, that being the case, kuna kigugumizi gani kuruhusu uchunguzi huru?.Mkuu Paskali, hata Tundu mwenyewe anajua kuwa ni mzuri sana kwenye nafasi ya kuongea na kukosoa. TLS sasa imeshamshinda,hakuna linalofanyika kwa manufaa ya wanasheria.
Hili neno "lazima" naona kama lina ukakasi fulani!. Kwa nini ni lazima awe Lissu?. Ulazima wake ni upi na ulazima wa nini?. Isije kuwa hata zile pyu pyu ni friendly fires ili kuondoa huo ulazima?.Yes, Tundu Lissu ni zaidi ya Rais Magufuli! Lazima awe mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA!
Nani mwenye personality?Hahahahaha,asimame tu,yaani CCM inashinda bila jasho.Huyo Lissu hana personality ya kumfanya awe Rais.