Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Uongozi haupimwi kwa kuongea bali vision na vitendo kukamilisha hiyo dream Magufuli ni kiongozi mwenye dhamira ya kweli ...hata nyerere katika kipindi chake cha uongozi walikua wanamchukia sana ..ila leo hii ni dhahabu.. time will tell ni wakati mzuri sasa kwa wasomi na watu wenye dhamira ya kweli kwa nchi kufanya mabadiliko ya kimfumo na kama haitafanyika kipindi hiki cha J PM tusahau nchi ya ahadi tutabakia misri na kulalamika tu...
 
bila shaka kwa sasa wewe ni mmojawapo Wa wanaokula meza moja na Huyo uchwara ila siku yakikutokea ya akina Nappe akili zitakurudi na utaungana na sisi katika mapambano ya kweli
 
pia anropoka sana sifa zikizidi ni shida kwa sababu huwezi kumtusi mtu bungeni ambaye hana nafasi kujitetea pale bungeni profesorio rubbish kiukweli mimi binafsi namkubali sana mh lisu ila kwa hii kauli hata mimi naona imenichefua. ok yote kwa yote.
 
Kwanza kwanini Magufuli mnamuona kama Mungu? Ivi si aliomba Kura au alishushwa kama Malaika?

Sent using Jamii Forums mobile app
MaGu sio mungu ila shida ni kwamba huko mlipo hamna kichwa cha kukismamisha zaidi ya wapiga debe tu na wachumia tumbo. Wekeni mtu makini mwenye busara na vision zake watu watamuona tu. Wala haihitaji nguvu za kugombania airtime na kudhalilishana. Mbona Mghwira hakujulikana ila alijizolea umaarufu sana punde tu baada ya campaigns kuanza. Leteni watu wa kaliba ile then ndio muongee ongee kuhusu kumshusha uncle.
 
We jamaa Kigeugeu sana.... sanaaa, nahisi hata hiyo popularity yako katika uandishi wa habari ilipatikana wakati hakuna ushindani mkubwa kwa waandishi lakini ghorofani wewe hamna kitu.

Usianze kuaminisha watu kitu kama huna uhakika, mwandishi mzuri ni yule anaeweka akiba ya maneno...ili aweze kufafanua, na hata utabiri unatakiwa ubase katika uhalisia wa wakati,sababu na wapi.

Hayo umeyaona leo...bado siku 365X3+20 days almost...kuna mengi yanakuja...kuna downfall za huyo ndugu yako unaejipendekeza, na kuna kuinuliwa kwa wale usiowajua....

Na ule upuuzi wako wa Bashite ni kichwa, kwamba anafaa kutawala hii nchi, muombe mod aondoe zile uzi...kuna siku utazikana
 
Uongozi haupimwi kwa kuongea bali vision na vitendo kukamilisha hiyo dream Magufuli ni kiongozi mwenye dhamira ya kweli ...hata nyerere katika kipindi chake cha uongozi walikua wanamchukia sana ..ila leo hii ni dhahabu.. time will tell ni wakati mzuri sasa kwa wasomi na watu wenye dhamira ya kweli kwa nchi kufanya mabadiliko ya kimfumo na kama haitafanyika kipindi hiki cha J PM tusahau nchi ya ahadi tutabakia misri na kulalamika tu...
Tatizo lilianza pale vita ya dawa za kulevya ilipoanza maana ilionekana lengo la vita ile ni kuua upinzani hapo ndipo watu walipopata hasira.Kingine kilichoondoa imani ni vita ya vyeti feki.Ilionekana ni watumishi wasiokuwa na kauli tu ndio wanaguswa.Wengi waliuliza why jeshi na polisi hawagusi huko?Ikaonekana ni uonevu.Kingine ilionekana kuna upendeleo kwa baadhi ya wateule wake kama Bashite.Kama angesawazisha haya mapema hakika njia yake ingekuwa nyeupe na safi.

Sent using Iphone 7+
 
Tatizo la Lissu ni kupitishwa na Mbowe. Atamshawishije Lowasa? Halafu si itakuwa vita juu ya vita yaani Lissu sijui itakuwajee!!!!!!! .
Madam Mwajuma, hapa umezungumzia vita na kujiuliza Lissu itakuwaje, jee mpaka sasa bado unajiuliza sijui itakuwaje, au sasa swali ni imekuwaje?.
P
 
Mkuu Paskali, hata Tundu mwenyewe anajua kuwa ni mzuri sana kwenye nafasi ya kuongea na kukosoa. TLS sasa imeshamshinda,hakuna linalofanyika kwa manufaa ya wanasheria.
Jee inawezekana sababu za zile pyu pyu ni siasa za TLS na sio sababu za ukosoaji wa serikali?, that being the case, kuna kigugumizi gani kuruhusu uchunguzi huru?.
P.
 
Lissu kwa kauli yake mwenyewe amesema hautaki urais anaupenda ubunge unampa nafasi nzuri ya malumbano bungemi.
 
Yes, Tundu Lissu ni zaidi ya Rais Magufuli! Lazima awe mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA!
Hili neno "lazima" naona kama lina ukakasi fulani!. Kwa nini ni lazima awe Lissu?. Ulazima wake ni upi na ulazima wa nini?. Isije kuwa hata zile pyu pyu ni friendly fires ili kuondoa huo ulazima?.

P
 
Back
Top Bottom