Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,472
- 7,276
Sasa nenendeni mkalilenge jiwe lenu, kama mnaona kawaida! Kwa alivyo na roho ya kishetani...risasi moja tu parapanda limelia! Hata risasi ikigusa pua tu!Wewe unawaza hilo tu? Watu wanapata ajali wanakufa na familia ni tegemezi, wengine wanakufa ghafla lakini maisha yataendelea tu kwa waliobaki.
kwani.hakuna watu wanajambaziwa wanakufa kwa mapanga na risasi
Na wanaacha familia? Au umeona ni Lisu tu?
Sasa nenendeni mkalilenge jiwe lenu, kama mnaona kawaida! Kwa alivyo na roho ya kishetani...risasi moja tu parapanda limelia! Hata risasi ikigusa pua tu!
Bora hata wewe hivi umenipa moyo kidogopo. Tufarijiane hivihivi mpaka mwisho mambo yameshahalibika.Ccm haina watu sampuli yako hata kidogo, halafu mnakalia kusema sjui tundu hivi ni Nani, kwetu huku niliko hata hajulikani kabisa, watu wanajua Magufuli tu
Hakuna lolote muda si mrefu ndio yeye na wanashabikia watajua hawajui.Tangu aje huyu bwana nimekua na kapressure fulani hivi kanapanda kanashuka.
Huyu bwana tangu aje kapigapiga mikono kadhaa tu tena siyo Rasimi lakini naona anaeleweka sana.
Kuna jamaa yangu yeye ndio kapanic kabisa yaani kawa mkalimkali tu akisikia mnamuengelea Lissu. Siju ni nini hiki kinatukumba sisi jamani. Wewe unajisikiaje?
Samahani maomba unikumbushe, yale MAFURIKO ambayo hayazuiliwi kwa mikono ya Chadema 2015 yaliishia wapi. Siwezi kukuuliza habari za 2005, 2010 uenda ulikuwa bado mdogo sana.Tangu aje huyu bwana nimekua na kapressure fulani hivi kanapanda kanashuka.
Huyu bwana tangu aje kapigapiga mikono kadhaa tu tena siyo Rasimi lakini naona anaeleweka sana.
Kuna jamaa yangu yeye ndio kapanic kabisa yaani kawa mkalimkali tu akisikia mnamuengelea Lissu. Siju ni nini hiki kinatukumba sisi jamani. Wewe unajisikiaje?
Mimi nabisha natutakutana hapa hapa!!Tundu Lissu hawezi kushinda. Kwa hiyo hatoshinda uchaguzi huu mkuu ujao.
Kushiriki kwake kwenye uchaguzi ni kitendo cha yeye kuuhalalisha ushindi wa Rais Magufuli.
Anayebisha tukutane baada ya uchaguzi tukumbushane...
Kwa hivo tutashinda kwa kutumia ile njia yetu ya kawaida eti? Haya majamaa ya sasa hivi yanaonekana yatakomaa na sisi kiroho mbaya.Samahani maomba unikumbushe, yale MAFURIKO ambayo hayazuiliwi kwa mikono ya Chadema 2015 yaliishia wapi. Siwezi kukuuliza habari za 2005, 2010 uenda ulikuwa bado mdogo sana.
Sawa, tutakutana.Mimi nabisha natutakutana hapa hapa!!
Samahani maomba unikumbushe, yale MAFURIKO ambayo hayazuiliwi kwa mikono ya Chadema 2015 yaliishia wapi. Siwezi kukuuliza habari za 2005, 2010 uenda ulikuwa bado mdogo sana.
SawasawaSawa, tutakutana.
Kwa hivo tutashinda kwa kutumia ile njia yetu ya kawaida eti? Haya majamaa ya sasa hivi yanaonekana yatakomaa na sisi kiroho mbaya.