Tundu Lissu ni jasiri sijapata kuona

Huwezi kuwa mwanaCCM ukamuhofia lissu NEVER

Nyie komaeni tu na social media kuandika ujinga halafu baada ya oktoba 28 mje hapa tena mnalia
 
Huwezi kuwa mwanaCCM ukamuhofia lissu NEVER

Nyie komaeni tu na social media kuandika ujinga halafu baada ya oktoba 28 mje hapa tena mnalia
Nimeshahakikishiwa tutatumia ile njia yetu ya kawaida. Nafuu sasa.
 
Umeona sasa😑😑 yani unazidi kutuhakikishia kwamba wewe sio mwanaCCM haya maandishi yako yanakushtaki
Wewe ndio unanichanganya sasa, kama hujui tutashindaje basi wewe ndio sio mwenzetu. Miaka yote tunashindaga hivyohivyo. Tofauti na hiyo ni maumivu.
 
Mtu kama kina Wakudadavua unamtegemea amuelewe mh Lissu?
 
Subiri oktoba!

Hii id yako usiikimbie tu
Mimi ni mkongwe hapa jamvini sioni haja ya kukimbia kisa chama kimekosa ushindi.

Cdm ni chama kinacho tambua kuwa kwenye demokrasia kuna kushinda na kushindwa siyo kama nyinyi mahinterahamwe
 
Tayari mungu amesha anza kuwapatia mapigo
 
Wewe ndio unanichanganya sasa, kama hujui tutashindaje basi wewe ndio sio mwenzetu. Miaka yote tunashindaga hivyohivyo. Tofauti na hiyo ni maumivu.
Nyie subirini kulia tu oktoba 28 2020 namba hazidanganyi
 
Ameeen
 
Wewe unawaza hilo tu? Watu wanapata ajali wanakufa na familia ni tegemezi, wengine wanakufa ghafla lakini maisha yataendelea tu kwa waliobaki.
kwani.hakuna watu wanajambaziwa wanakufa kwa mapanga na risasi
Na wanaacha familia? Au umeona ni Lisu tu?
Inaonekana wewe ni mmoja wa watu wasiyo julikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…