Wao ndo wanaumia zaidi na kuteseka,Japokuwa sikubaliani na Tundu kwa vitu vingi lakini kitendo cha kushambuliwa kwake kilinisononesha sana
Shambulio lake halikuwa la kibinadamu- ulikuwa ni unyama tena unyama uliopitiliza.
Ingawa_pamoja na madhira yote hayo. Tundu ameendelea kuwa jasiri-haonyeshi hali ya kukata tamaa, majonzi wala masononeko. Sura yake imejawa na tabasamu muda wote. Hadi najiuliza:
Waliomshambulia
Wanajisikiaje kumwona akiwa ni mwenye kujawa na uso wa furaha?
Wanajisikiaje kumwona akiwa hai?
Waliwaza nini juu ya familia yake ambayo angeiacha?
Ungekuwa wewe ungejisikiaje endapo ni ndugu yako anapigwa risasi zote zile?
Wanajisikiaje kumwona akiwa anatembea kwa kuchechemea mguu mmoja huku wao wakitembea kwa miguu miwili?
Ndugu Watanzania wenzangu, tujitahidi kutenda kadri ya inavyompendeza Mungu ipo siku tutahukumiwa sawa sawa na matendo yetu.View attachment 1533168
anafaa kuongoza kizazi cha sasaAnafaa kuwa amiri Jeshi Mkuu,anastahili kuwa Mkuu wa Nchi.
Ni Shupavu,Ni Jasiri ,anajiamini,amepita kwenye tanuru la Moto.
Ana sifa za Kielimu,Ufahamu,anajua kujieleza ,kusikiliza na Ana huruma.
Ni mkweli na mzalendo halisi.
Kwa kuaenzi hayo wote kwa pamoja bila kujali itikadi zetu,vyama vyetu,Dini zetu tumchague kwa kura za Ndio.
Asante mkuu. Ukitaka kuthibitisha ninachokisema mtu akikukosea msamehe na mwingine akikukosea usimsamehe (tunza kisasi) halafu utaniambie ni nani kati ya hao wawili ukikutana naye au familia yake 'you feel at ease with' na kwa nini au ikitokea kutoelewana kati yake na wife wake ni nani anayeweza kuishi naye vizuri zaidi: je, ni yule ambaye wote wawili wamesameheana au wote wawili kila mmoja ameamua kutosamehe (yaani amefunga mlango na madirisha ya moyo wake kwa mwenzake)? So, kusamehe kunaleta 'healing effect' na kutosamehe kunajenga 'hatred/revenge' katika maisha yetu.Mkuu hongera sana kwa kutupatia hilo neno, limeujaza au kuushibisha moyo wangu
Achana na ajali kaka, pata picha mzee unainua bunduki na kumpiga risasi mwanadamu mwenzio, hebu vuta picha...Wewe unawaza hilo tu? Watu wanapata ajali wanakufa na familia ni tegemezi, wengine wanakufa ghafla lakini maisha yataendelea tu kwa waliobaki.
Shambulizi la Tundu lilikuwa ni tukio la kukusudia kukatisha uhai wake ni tofauti na ajali inayotokea unexpectedlyWewe unawaza hilo tu? Watu wanapata ajali wanakufa na familia ni tegemezi, wengine wanakufa ghafla lakini maisha yataendelea tu kwa waliobaki.
Ubarikiwe sana mkuuAsante mkuu. Ukitaka kuthibitisha ninachokisema mtu akikukosea msamehe na mwingine akikukosea usimsamehe (tunza kisasi) halafu utaniambie ni nani kati ya hao wawili ukikutana naye au familia yake 'you feel at ease with' na kwa nini au ikitokea kutoelewana kati yake na wife wake ni nani anayeweza kuishi naye vizuri zaidi: je, ni yule ambaye wote wawili wamesameheana au wote wawili kila mmoja ameamua kutosamehe (yaani amefunga mlango na madirisha ya moyo wake kwa mwenzake)? So, kusamehe kunaleta 'healing effect' na kutosamehe kunajenga 'hatred/revenge' katika maisha yetu.
Kanisa langu la Roma hapa tz linafungamana na waliotenda haya.Japokuwa sikubaliani na Tundu kwa vitu vingi lakini kitendo cha kushambuliwa kwake kilinisononesha sana
Shambulio lake halikuwa la kibinadamu- ulikuwa ni unyama tena unyama uliopitiliza.
Ingawa_pamoja na madhira yote hayo. Tundu ameendelea kuwa jasiri-haonyeshi hali ya kukata tamaa, majonzi wala masononeko. Sura yake imejawa na tabasamu muda wote. Hadi najiuliza:
Waliomshambulia
Wanajisikiaje kumwona akiwa ni mwenye kujawa na uso wa furaha?
Wanajisikiaje kumwona akiwa hai?
Waliwaza nini juu ya familia yake ambayo angeiacha?
Ungekuwa wewe ungejisikiaje endapo ni ndugu yako anapigwa risasi zote zile?
Wanajisikiaje kumwona akiwa anatembea kwa kuchechemea mguu mmoja huku wao wakitembea kwa miguu miwili?
Ndugu Watanzania wenzangu, tujitahidi kutenda kadri ya inavyompendeza Mungu ipo siku tutahukumiwa sawa sawa na matendo yetu.View attachment 1533168
Mwingine wamemfokea WAJUMBE wa Kigamboni.Waliomshambulia Lissu hawapaswi kuishi.
Watapotezwa milele na system ili kufunga fundo. Unamkumbuka "mbena m...."Kama waliotaka kumuua Lisu hawajafa ndani ya mwaka huu mpaka December basi nitaikana imani yangu.
Haiwezekani Mungu anayeweza kulipa kisasi akae kimya nami niendelee kumwabudu.
Tundu lisu alipoingia nchini alisema lau kama atatoa nguo alizo vaa unaweza ukakimbia ukiona majeraha aliyonayo. Hii picha imenipa hasira mbaya sana. Yaani kwa ugaidi huu lakini adi sasa hivi hakuna taarifa yoyote ya kiuchunguzi? Na mbaya zaidi raia wenzake walikatazwa hata kumuombea? Tena na kauli za kejeli kwamba amekwenda nje kuzurura? Haki ya mungu hili jambo linatia hasira kuliko ninavyo elezea hisia zangu.Japokuwa sikubaliani na Tundu kwa vitu vingi lakini kitendo cha kushambuliwa kwake kilinisononesha sana
Shambulio lake halikuwa la kibinadamu- ulikuwa ni unyama tena unyama uliopitiliza.
Ingawa_pamoja na madhira yote hayo. Tundu ameendelea kuwa jasiri-haonyeshi hali ya kukata tamaa, majonzi wala masononeko. Sura yake imejawa na tabasamu muda wote. Hadi najiuliza:
Waliomshambulia
Wanajisikiaje kumwona akiwa ni mwenye kujawa na uso wa furaha?
Wanajisikiaje kumwona akiwa hai?
Waliwaza nini juu ya familia yake ambayo angeiacha?
Ungekuwa wewe ungejisikiaje endapo ni ndugu yako anapigwa risasi zote zile?
Wanajisikiaje kumwona akiwa anatembea kwa kuchechemea mguu mmoja huku wao wakitembea kwa miguu miwili?
Ndugu Watanzania wenzangu, tujitahidi kutenda kadri ya inavyompendeza Mungu ipo siku tutahukumiwa sawa sawa na matendo yetu.View attachment 1533168
Kuwa ccm hakuniondolei ubinadamuCCM haina watu sampuli yako hata kidogo, halafu mnakalia kusema sjui tundu hivi ni Nani, kwetu huku niliko hata hajulikani kabisa, watu wanajua Magufuli tu
Labda Lile zwazwa la kyela lenye digirii 4Yoyote avukae jaribio la KUULIWA.
Huishia kua Jasiri na tayari kwa lolote.
Nahili ndo linawatesa akinaJohn.
Watu wako wa karibu wanasema hivyo ni katika vitu unavyogombania na watoto wa dada yako huko kwenu maji matitu!Hao ni wazee mlio watelekeza kwa kushindwa kuwatunza
Kwenye hiyo mikusanyiko kuna watu watakuwa wana tumwaHawawezi kujaribu tena!
AMENTuwasamehe 7*70