Pre GE2025 Tundu Lissu ni kiboko, wameshapitisha sheria sasa wanarudi kufafanua nini? Amemwibua Comrade Kinana!

Pre GE2025 Tundu Lissu ni kiboko, wameshapitisha sheria sasa wanarudi kufafanua nini? Amemwibua Comrade Kinana!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Upo sahihi,hata mimi nilihisi una schizophrenia, nikaona nisikujibu maana utaishia kunidhihaki while nimetoa maoni yangu. Kumbe kweli. Umgonjwa wewe binti.
Mental disorder is real exist! i don't know how you manage replying my post! seriously this should be into series of wonders in the world! scientist have to research again through you!
 
Kinana, omba mdahalo na Lissu kama kweli ina hoja, najua unasoma himu, vinginevcyo wewe ni mweupe kwa Lissu, Mdahalo Tafadhari.
 
Wiki mbili za Tundu Lissu kufanya maandamano Takribani Mikoa 6 mfululizo zimeacha Madhara makubwa.

Madhara hayo ni kufungua Wananchi kuhusu masuala mbali mbali ikiwemo Uchaguzi, Katiba Mpyaz Uhuruz na Utawala bora, siasa na maendeleo.

chawa wengi walijaribu Kujitutumua kumjibu ikashindikana sasa amekuja Makamu mwenyewe Cmd. Mh. Kinana dhidi ya Makamu Mwenyekiti Mh. Tundu Lissu!

Nini ambacho Mh. Kinana anadhani walisahau ambacho amerudi kufafanua?
Mwenye CV ya Kinana tafadhali
 
Mzee anakwambia hata Saudia kwenye mafuta wanakopa, hivyo hata sisi tukope tu...

Ishu ni kwamba unakopa kufanyia miradi gani ambayo inakuja irejesha hiyo pesa?

Ona mamiradi kama BRT ambavyo imekuwa kama money pit, ni kero tu...
 
Wiki mbili za Tundu Lissu kufanya maandamano Takribani Mikoa 6 mfululizo zimeacha Madhara makubwa.

Madhara hayo ni kufungua Wananchi kuhusu masuala mbali mbali ikiwemo Uchaguzi, Katiba Mpyaz Uhuruz na Utawala bora, siasa na maendeleo.

chawa wengi walijaribu Kujitutumua kumjibu ikashindikana sasa amekuja Makamu mwenyewe Cmd. Mh. Kinana dhidi ya Makamu Mwenyekiti Mh. Tundu Lissu!

Nini ambacho Mh. Kinana anadhani walisahau ambacho amerudi kufafanua?
Kinana kaibua hoja zaidi badala ya kujibu hoja..

Hapa kwa mbali namuona Tundu Lissu akija kumzima na kumzika mzee Kinana na CCM yake mazima..

Alichofanya Kinana hapa leo na CCM yake ni kukwepa kuzijibu hoja za Tundu Lissu kwa misingi na upogo wa kikatiba zote mbili ya JMT (1977) na Zanzibar (1984) na badala akafanya mchezo uleule wa kipropaganda wa siku zote wa Rais kajenga barabara, shule na upuuzi mwingine..

Hata Tundu Lissu hajakataa na wala hana shida na Uzanzibari wa Rais Samia Suluhu Hassan au yule mwingine Ally Hassan Mwinyi..

Shida iko kwenye special provisions za kikatiba zinazowapa upendeleo na haki Wazanzibari ktk nchi zote mbili Tanganyika na Zanzibar huku Watanganganyika wakiwa hawana haki kabisa huko Zanzibar. Shida iko hapa na tunauliza huu ni muungano au magumashi tu?

Na ndio maana tunaona kwa uwazi sana kuwa Tanganyika inatawaliwa na mkimbizi raia wa nchi ya kigeni iitwayo Zanzibar.!!

Kinana na CCM bado mnapaswa kujibu hoja au mkubali tu kuwa liko tatizo ktk muungano wetu huu na tukae chini tukubaliane namna ya kuliondoa na kusonga mbele!
 
Bila CCM kuondoka madalakani Ni ndoto kuyapata maendereo tutabaki Kutia vilaka barabara mpaka yesu anakuja shituka ndugu
 
Back
Top Bottom