Tundu Lissu ni mjanja sana. Tafadhali msimguse. Mwache ashindwe au ashinde kwa haki

USA hawajawahi kushindwa vita ya mbali
Umesahau juzi sheria imepitishwa ya kinga kwa vigogo watatu?? Hawana future ya kurudi madarakani ikabidi wa wahi kutia resistance kisheria ingawa haitasaidia kitu.
 
Tusimfanye Lissu akawa ana over right , ni raia kama raia wengine.

Kama amekuja kijasusi basi intelijensia ya nchi itamalizana nae. Ni swala la mda tu. Kinachombeba ni kwa kuwa TZ ni inchi ya watu wapenda Amani na hawapendi makando kando. Angekuwa nchi za wenzetu angekuwa anachezea mechi za mchangani.
 
Ni kweli hatumpaishi lakini atendewe haki. Kama havunji sheria za nchi asisumbuliwe.

Mwanakulitafuta mwanakulipata. Atakayeshupaza shingo atajuta yeye na Familia yake.
 
Kwasasa hao wasiojulikana wapo monitored 24/7 na inawezekana wakamalizwa wao kabla hata ya kutaka kufanya shambulizi lao, rejea zakaria alivyowabatua watu wa TISS kabla hawajataka kumteka.
 
Lissu alivyofika tu Balozi katambulishwa
Huyo barozi yupo kikazi zaidi hasa kipindi hiki ambacho Lissu kurudi nyumbani na kushiriki uchaguzi mkuu kama mgombea urais wa JMT
 
W.a .p.u.m.b.v..... katika ubora wenu, ye akae akijua akivunja sheria tu atashughulikiwa, asisingizie ulemavu hapa
 
Kweli aisee, hivi ile issue iliishia wapi mkuu?

Back
Top Bottom