Tundu Lissu ni mjanja sana. Tafadhali msimguse. Mwache ashindwe au ashinde kwa haki

Acha woga. Tundu Lissu sio Gaidi. Asisumbuliwe. Si mmejenga flyover na SGR?? Fanyeni kampeni kistaarabu tu.

Mkizingua nyie na familia zenu mtajuta. Majuto ni mjukuu.anyway umemsikia kaka yako Makonda??
Hakuna lolote.Ni sawa na mlevi wa madawa ya kulevya anayejisikia anaishi angani wakati analala kwenye mapioa.
 
Niwajulishe tu wenzangu na mimi kuhusu Lissu na namna ninavyoweza kumchukulia. Iko wazi kuwa Tundu Lissu ni kijana/Mzee mwenye uwezo mkubwa kiakili. Hili linaweza kuthibitishwa na watu wanaofanya nae kazi na hata sisi watu wa siasa. Huko kwenye taaluma yake mambo ya haki, sheria na wajibu ndio kabisaa! Ni nondo huyu jamaa.

Sasa kuna ka-kauli amekuwa akikaongelea sana toka alipoanza maandalizi ya kuja nyumbani kutoka Ubelgiji kwenye matibabu yake. Nako ni haka. 'mimi sina ulinzi binafsi wala chama changu hakina ulinzi wa kunihakikishia usalama wangu, ni serikali na polisi vyenye wajibu wa kisheria kunilinda na kulinda usalama wa mali na raia wake"

Hii kauli ameiongea zaidi ya mara kumi au kumi na tano kila anapopata fursa ya kuongea na vyombo vya habari vya ndani au nje ya nchi.

Wataalam wa mambo ya usalama na ulinzi mtakubaliana na mimi kuwa hatusikilizi kile anachosema na kuonesha wazi (an eye to see not the revealed but what is hidden).

Mnavyomjua Lissu na tishio alilokuwa nalo la usalama wake huku akiwa ndiye mpinzani anayeogopwa hawezi kuwa mjinga kiasi hicho akaingia nchini kichwa kichwa.

Please washikaji mnaotaka ujiko kwa kumsumbua sumbua kwa njia mnazojua nyie nawatahadharisha msije kusema hatukuwambia kitakacho wakuta mtajuta ninyi na familia zenu.

Mwacheni afanye siasa zake kama hazivunji sheria za nchi mpeni uwanja huru. Akishindwa kila mtu ataona. La akidhulumiwa wazi wazi mnamjua Yule ni Toto Tundu. Hatokubali. Mkidharua juu yenu. Mkiuchukua ushauri huu au mkauacha huu yenu pia

Nawatakia kikao chema Mlimani City. Watanzania tunatarajia Mgombea asiye na mashaka wala makandokando.

Aluta continua!✌✌✌

..na ili kumkomoa na kumkomesha TL nashauri Raisi ateue makada wa CDM ktk nafasi za msajili wa vyama vya siasa, mkurugenzi wa tume ya uchaguzi, na wasimamizi wote wa uchaguzi majimboni watoke CDM.
 
Niwajulishe tu wenzangu na mimi kuhusu Lissu na namna ninavyoweza kumchukulia. Iko wazi kuwa Tundu Lissu ni kijana/Mzee mwenye uwezo mkubwa kiakili. Hili linaweza kuthibitishwa na watu wanaofanya nae kazi na hata sisi watu wa siasa. Huko kwenye taaluma yake mambo ya haki, sheria na wajibu ndio kabisaa! Ni nondo huyu jamaa.

Sasa kuna ka-kauli amekuwa akikaongelea sana toka alipoanza maandalizi ya kuja nyumbani kutoka Ubelgiji kwenye matibabu yake. Nako ni haka. 'mimi sina ulinzi binafsi wala chama changu hakina ulinzi wa kunihakikishia usalama wangu, ni serikali na polisi vyenye wajibu wa kisheria kunilinda na kulinda usalama wa mali na raia wake"

Hii kauli ameiongea zaidi ya mara kumi au kumi na tano kila anapopata fursa ya kuongea na vyombo vya habari vya ndani au nje ya nchi.

Wataalam wa mambo ya usalama na ulinzi mtakubaliana na mimi kuwa hatusikilizi kile anachosema na kuonesha wazi (an eye to see not the revealed but what is hidden).

Mnavyomjua Lissu na tishio alilokuwa nalo la usalama wake huku akiwa ndiye mpinzani anayeogopwa hawezi kuwa mjinga kiasi hicho akaingia nchini kichwa kichwa.

Please washikaji mnaotaka ujiko kwa kumsumbua sumbua kwa njia mnazojua nyie nawatahadharisha msije kusema hatukuwambia kitakacho wakuta mtajuta ninyi na familia zenu.

Mwacheni afanye siasa zake kama hazivunji sheria za nchi mpeni uwanja huru. Akishindwa kila mtu ataona. La akidhulumiwa wazi wazi mnamjua Yule ni Toto Tundu. Hatokubali. Mkidharua juu yenu. Mkiuchukua ushauri huu au mkauacha huu yenu pia

Nawatakia kikao chema Mlimani City. Watanzania tunatarajia Mgombea asiye na mashaka wala makandokando.

Aluta continua!✌✌✌
We subiri tu, Hawa wafuasi wa jiwe wanacheza na Moto, UN they are watching
 
Na mtavuna matusi kwenye uchaguzi.Hilo mnaliweza sana.Ndiyo maana nchi haikabidhiwi kwa hayawani.
Tunataka tumtoe hayawani ndio maana watz wanamtaka Tundu Lissu hawataki mpiga mkelele anadharirisha na kutukana watumishi na wananchi huku akitopoka hovyo....... Bora akaombe kuwa mwenyekiti wa kijiji huko chato
 
Niwajulishe tu wenzangu na mimi kuhusu Lissu na namna ninavyoweza kumchukulia. Iko wazi kuwa Tundu Lissu ni kijana/Mzee mwenye uwezo mkubwa kiakili. Hili linaweza kuthibitishwa na watu wanaofanya nae kazi na hata sisi watu wa siasa. Huko kwenye taaluma yake mambo ya haki, sheria na wajibu ndio kabisaa! Ni nondo huyu jamaa.

Sasa kuna ka-kauli amekuwa akikaongelea sana toka alipoanza maandalizi ya kuja nyumbani kutoka Ubelgiji kwenye matibabu yake. Nako ni haka. 'mimi sina ulinzi binafsi wala chama changu hakina ulinzi wa kunihakikishia usalama wangu, ni serikali na polisi vyenye wajibu wa kisheria kunilinda na kulinda usalama wa mali na raia wake"

Hii kauli ameiongea zaidi ya mara kumi au kumi na tano kila anapopata fursa ya kuongea na vyombo vya habari vya ndani au nje ya nchi.

Wataalam wa mambo ya usalama na ulinzi mtakubaliana na mimi kuwa hatusikilizi kile anachosema na kuonesha wazi (an eye to see not the revealed but what is hidden).

Mnavyomjua Lissu na tishio alilokuwa nalo la usalama wake huku akiwa ndiye mpinzani anayeogopwa hawezi kuwa mjinga kiasi hicho akaingia nchini kichwa kichwa.

Please washikaji mnaotaka ujiko kwa kumsumbua sumbua kwa njia mnazojua nyie nawatahadharisha msije kusema hatukuwambia kitakacho wakuta mtajuta ninyi na familia zenu.

Mwacheni afanye siasa zake kama hazivunji sheria za nchi mpeni uwanja huru. Akishindwa kila mtu ataona. La akidhulumiwa wazi wazi mnamjua Yule ni Toto Tundu. Hatokubali. Mkidharua juu yenu. Mkiuchukua ushauri huu au mkauacha huu yenu pia

Nawatakia kikao chema Mlimani City. Watanzania tunatarajia Mgombea asiye na mashaka wala makandokando.

Aluta continua![emoji111][emoji111][emoji111]
In addition to that watawala nadhani afadhali wangejikita kuzijibu hoja za Wakulima hasa wa korosho, wafanyakazi, wafanyabiashara wana hoja nyingi zinazohitaji majawabu. Ni vyema mgewajibu hao kuliko kupoteza muda kwa mnayemuita kichaa. Sidhani kama mtu mwenye akili anaweza kupoteza muda kujibizana na kichaa
 
Back
Top Bottom