Tundu Lissu ni mjanja sana. Tafadhali msimguse. Mwache ashindwe au ashinde kwa haki

Ni kweli hatumpaishi lakini atendewe haki. Kama havunji sheria za nchi asisumbuliwe.

Mwanakulitafuta mwanakulipata. Atakayeshupaza shingo atajuta yeye na Familia yake.
Acha kutisha watu mpuuzi wewe. Hakuna yeyote anaehangaika na huyo Lissu. Kwa kipi hasa? Huko huko ndani ya CHADEMA mnajuana wenyewe.
 
Acha kutisha watu mpuuzi wewe. Hakuna yeyote anaehangaika na huyo Lissu. Kwa kipi hasa? Huko huko ndani ya CHADEMA mnajuana wenyewe.
Hakuna anayehangaika naye?? are you blind??
 
Kwa hiyo unataka kutuwekea vitisho katika nchi yetu wenyewe ili tumwogope mtu .Wewe huna lolote kama alivyo yeye huyo unayemwamini.Huyu alishakuwa 'homesick' huko alipokuwa na alikuwa anatufuta njia atarudirudije nyumbani hasa baada ya kujidhalilisha huko nje kwa wazungu kuhusu nchi yake.Sasa uchaguzi ulipofika kwake ilikuwa ndiyo ngazi ya kurudia nyumbani na imemsaidia kwa sababu alikuwamwoga mno.Hii inathibitishwa na mabarua yake aliyoandika na kutoa nakala hata kwa wasiohusika.Tundu Lissu ni wa kawaida sana ,ni wewe tu kwa sababu ya upeo mdogo na vilevile shule ndogo unamuona wa maana sana.Who is he mpaka sasa asababishe watu waandamwe mpaka familia zao .Bull shit.
 
Acha woga. Tundu Lissu sio Gaidi. Asisumbuliwe. Si mmejenga flyover na SGR?? Fanyeni kampeni kistaarabu tu.

Mkizingua nyie na familia zenu mtajuta. Majuto ni mjukuu.anyway umemsikia kaka yako Makonda??
 
Watu haaajiulizi kwanini Makonsa kijana mtiidu kwa mzee baba yupo kando?
 
Pamoja na kuwa vya nchi, kuna anaye viamuru.
Na wale wanaoamuriwa pia wana akili zao. Sio makondoo. Hata ulaya na marekani vina amriwa pia. Muda ukifika mambo yanakuwa tofauti kabisa
 
Watu haaajiulizi kwanini Makonsa kijana mtiidu kwa mzee baba yupo kando?
Hawajiongezi yaani. Mambo ni magumu kwa mzee mwenye nyumba amekuja kugundua mwishoni na hawezi kuokoa kitu tena. Damage is beyond repair.
 
Waambie hao Mkuu. Ongeza sauti kabisa mpaka mwisho, wasije sema hukusema. Sisi wananchi tulioteseka vilivyo miaka hii 5, tumeshasema sasa basi inatosha.. Tuko na Lissu. Yeye ndiye mkombozi wetu. #NiYeye2020
 
Hahaaa....... Wamekusikia mkuu
 
Ww mbwa ndo wa kuuliza who is Lissu?

Kamuulize magufuli.....
 

Kwa taarifa yako "mazee" ndo wameruhusu hali ya hewa iwe shwari na TL arudi TZ kilaini.

Wangesisistiza msimamo wao TL asingerudi.

Mazee wanadhani TL anamwonea mkulu kwa kauli zake.

Kuna mambo mengi yanapita nyuma ya pazia wengi hatuwezi kuyafahamu.

Kwenye Kitengo wapo watu walosoma na TL na wanamwelewa vilivyo.

Tatizo la ukaidi la TL ameshauriwa mara nyingi hata na ndugu yake Mangu na hakutaka kusikia.

Ila ukuweli ni kwamba system ya nchi hii ndo wamemruhusu na "memoradum of understanding" imepita.

Zaidi ya hayo tunamtakia kila la kheri TL kwenye harakati zake za kujaribu kuwania uraisi.

Tusubiri baada ya matokeo ndo tutaelwa zaidi.
 
Na ndivyo inavyotakiwa amani na utulivu. Shukrani kwa "Mazee" kuwezesha hili. Ni Busara na they have done what is needed to be done. And so we wish the same environment during and after election. Naweza kusema "Mazee" wametendea haki kitengo chao.

Hatutaki TL aonewe huruma kwani yeye ni nani?? Na pia hatutaki mtu yeyote akionewa.

Atakayezingua hata kama ni TAL naye wamlaruwe tu. Lakini sio uonevu.

Tuonane october 2020.
 
Waambie hao Mkuu. Ongeza sauti kabisa mpaka mwisho, wasije sema hukusema. Sisi wananchi tulioteseka vilivyo miaka hii 5, tumeshasema sasa basi inatosha.. Tuko na Lissu. Yeye ndiye mkombozi wetu. #NiYeye2020
Swadaktaaa!
 
Lakini ujuzi wake wa sheria unatia mashaka, tangu tuanze hii awamu ya tano. Lissu ameshindwa kesi zote zilizo muhusu.
Mfano ya ubunge wake!
Pia makesi (wapinzani) waliyokuwa wanashinda kabla ya awamu ya tano yalikuwa na vimelea vya rushwa. Awamu hii watu wana maadili mema na kesi zinafuata haki mahakamani - ila Lissu na wenzake umekuwa mtihani mgumu. Hivyo taaluma yake - nafikiri anapwaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…