Hakuna lolote.Ni sawa na mlevi wa madawa ya kulevya anayejisikia anaishi angani wakati analala kwenye mapioa.Acha woga. Tundu Lissu sio Gaidi. Asisumbuliwe. Si mmejenga flyover na SGR?? Fanyeni kampeni kistaarabu tu.
Mkizingua nyie na familia zenu mtajuta. Majuto ni mjukuu.anyway umemsikia kaka yako Makonda??
Niwajulishe tu wenzangu na mimi kuhusu Lissu na namna ninavyoweza kumchukulia. Iko wazi kuwa Tundu Lissu ni kijana/Mzee mwenye uwezo mkubwa kiakili. Hili linaweza kuthibitishwa na watu wanaofanya nae kazi na hata sisi watu wa siasa. Huko kwenye taaluma yake mambo ya haki, sheria na wajibu ndio kabisaa! Ni nondo huyu jamaa.
Sasa kuna ka-kauli amekuwa akikaongelea sana toka alipoanza maandalizi ya kuja nyumbani kutoka Ubelgiji kwenye matibabu yake. Nako ni haka. 'mimi sina ulinzi binafsi wala chama changu hakina ulinzi wa kunihakikishia usalama wangu, ni serikali na polisi vyenye wajibu wa kisheria kunilinda na kulinda usalama wa mali na raia wake"
Hii kauli ameiongea zaidi ya mara kumi au kumi na tano kila anapopata fursa ya kuongea na vyombo vya habari vya ndani au nje ya nchi.
Wataalam wa mambo ya usalama na ulinzi mtakubaliana na mimi kuwa hatusikilizi kile anachosema na kuonesha wazi (an eye to see not the revealed but what is hidden).
Mnavyomjua Lissu na tishio alilokuwa nalo la usalama wake huku akiwa ndiye mpinzani anayeogopwa hawezi kuwa mjinga kiasi hicho akaingia nchini kichwa kichwa.
Please washikaji mnaotaka ujiko kwa kumsumbua sumbua kwa njia mnazojua nyie nawatahadharisha msije kusema hatukuwambia kitakacho wakuta mtajuta ninyi na familia zenu.
Mwacheni afanye siasa zake kama hazivunji sheria za nchi mpeni uwanja huru. Akishindwa kila mtu ataona. La akidhulumiwa wazi wazi mnamjua Yule ni Toto Tundu. Hatokubali. Mkidharua juu yenu. Mkiuchukua ushauri huu au mkauacha huu yenu pia
Nawatakia kikao chema Mlimani City. Watanzania tunatarajia Mgombea asiye na mashaka wala makandokando.
Aluta continua!✌✌✌
Kwanza amekaa ki Presidential[emoji16]
Kwanza amekaa ki Presidential[emoji16]
We subiri tu, Hawa wafuasi wa jiwe wanacheza na Moto, UN they are watchingNiwajulishe tu wenzangu na mimi kuhusu Lissu na namna ninavyoweza kumchukulia. Iko wazi kuwa Tundu Lissu ni kijana/Mzee mwenye uwezo mkubwa kiakili. Hili linaweza kuthibitishwa na watu wanaofanya nae kazi na hata sisi watu wa siasa. Huko kwenye taaluma yake mambo ya haki, sheria na wajibu ndio kabisaa! Ni nondo huyu jamaa.
Sasa kuna ka-kauli amekuwa akikaongelea sana toka alipoanza maandalizi ya kuja nyumbani kutoka Ubelgiji kwenye matibabu yake. Nako ni haka. 'mimi sina ulinzi binafsi wala chama changu hakina ulinzi wa kunihakikishia usalama wangu, ni serikali na polisi vyenye wajibu wa kisheria kunilinda na kulinda usalama wa mali na raia wake"
Hii kauli ameiongea zaidi ya mara kumi au kumi na tano kila anapopata fursa ya kuongea na vyombo vya habari vya ndani au nje ya nchi.
Wataalam wa mambo ya usalama na ulinzi mtakubaliana na mimi kuwa hatusikilizi kile anachosema na kuonesha wazi (an eye to see not the revealed but what is hidden).
Mnavyomjua Lissu na tishio alilokuwa nalo la usalama wake huku akiwa ndiye mpinzani anayeogopwa hawezi kuwa mjinga kiasi hicho akaingia nchini kichwa kichwa.
Please washikaji mnaotaka ujiko kwa kumsumbua sumbua kwa njia mnazojua nyie nawatahadharisha msije kusema hatukuwambia kitakacho wakuta mtajuta ninyi na familia zenu.
Mwacheni afanye siasa zake kama hazivunji sheria za nchi mpeni uwanja huru. Akishindwa kila mtu ataona. La akidhulumiwa wazi wazi mnamjua Yule ni Toto Tundu. Hatokubali. Mkidharua juu yenu. Mkiuchukua ushauri huu au mkauacha huu yenu pia
Nawatakia kikao chema Mlimani City. Watanzania tunatarajia Mgombea asiye na mashaka wala makandokando.
Aluta continua!✌✌✌
UN and secret agencies are EYE-OPEN.We subiri tu, Hawa wafuasi wa jiwe wanacheza na Moto, UN they are watching
Tunataka tumtoe hayawani ndio maana watz wanamtaka Tundu Lissu hawataki mpiga mkelele anadharirisha na kutukana watumishi na wananchi huku akitopoka hovyo....... Bora akaombe kuwa mwenyekiti wa kijiji huko chatoNa mtavuna matusi kwenye uchaguzi.Hilo mnaliweza sana.Ndiyo maana nchi haikabidhiwi kwa hayawani.
Ndio dawa mkuu...... Yanakera sn haya majamaa maccmMkuu usimtukane. Kwani hutakuwa tofayti na yeye. Wacha october tuwanyoshe tu.
In addition to that watawala nadhani afadhali wangejikita kuzijibu hoja za Wakulima hasa wa korosho, wafanyakazi, wafanyabiashara wana hoja nyingi zinazohitaji majawabu. Ni vyema mgewajibu hao kuliko kupoteza muda kwa mnayemuita kichaa. Sidhani kama mtu mwenye akili anaweza kupoteza muda kujibizana na kichaaNiwajulishe tu wenzangu na mimi kuhusu Lissu na namna ninavyoweza kumchukulia. Iko wazi kuwa Tundu Lissu ni kijana/Mzee mwenye uwezo mkubwa kiakili. Hili linaweza kuthibitishwa na watu wanaofanya nae kazi na hata sisi watu wa siasa. Huko kwenye taaluma yake mambo ya haki, sheria na wajibu ndio kabisaa! Ni nondo huyu jamaa.
Sasa kuna ka-kauli amekuwa akikaongelea sana toka alipoanza maandalizi ya kuja nyumbani kutoka Ubelgiji kwenye matibabu yake. Nako ni haka. 'mimi sina ulinzi binafsi wala chama changu hakina ulinzi wa kunihakikishia usalama wangu, ni serikali na polisi vyenye wajibu wa kisheria kunilinda na kulinda usalama wa mali na raia wake"
Hii kauli ameiongea zaidi ya mara kumi au kumi na tano kila anapopata fursa ya kuongea na vyombo vya habari vya ndani au nje ya nchi.
Wataalam wa mambo ya usalama na ulinzi mtakubaliana na mimi kuwa hatusikilizi kile anachosema na kuonesha wazi (an eye to see not the revealed but what is hidden).
Mnavyomjua Lissu na tishio alilokuwa nalo la usalama wake huku akiwa ndiye mpinzani anayeogopwa hawezi kuwa mjinga kiasi hicho akaingia nchini kichwa kichwa.
Please washikaji mnaotaka ujiko kwa kumsumbua sumbua kwa njia mnazojua nyie nawatahadharisha msije kusema hatukuwambia kitakacho wakuta mtajuta ninyi na familia zenu.
Mwacheni afanye siasa zake kama hazivunji sheria za nchi mpeni uwanja huru. Akishindwa kila mtu ataona. La akidhulumiwa wazi wazi mnamjua Yule ni Toto Tundu. Hatokubali. Mkidharua juu yenu. Mkiuchukua ushauri huu au mkauacha huu yenu pia
Nawatakia kikao chema Mlimani City. Watanzania tunatarajia Mgombea asiye na mashaka wala makandokando.
Aluta continua![emoji111][emoji111][emoji111]