Tundu Lissu: Ni wakati wa kufungua ukurasa mpya kama Taifa

Tundu Lissu: Ni wakati wa kufungua ukurasa mpya kama Taifa

Akihojiwa na kituo cha KTN news cha Kenya Tundu Lissu amesema huu ni wakati wa kuanza na ukurasa mpya kama taifa la Tanzania. Maana tayari tumepoteza Kiongozi...
tutafungua ukurasa mpya sisi Watanzania, yeye ni mbelgiji, atuachie nchi yetu.tangu majuzi anasherehekea kifo cha Rais.
 
Lissu kasema tuanze ukurasa mpya! Ukurasa ni uleule ila ukijaa tutahamia ukurasa mwingine. Mambo ni yaleyale ya JPM .Mungu ibariki Tz

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Sioni sabbu ya kuendelea kuwa na ujamaa na lissu kwa sabb hata leo hii lissu akipewa hii nchi bado legacy ya magufuli ni kubwa sana
 
Kama wwe ulishiriki dhuluma dhidi ya damu isiyo hatia ulifungua geti,ulikuwa dereva, ulishika bunduki,nk,ulishiriki,ulipanga,nk andaa wosia albadilli ndo hio ishapiga kipenga.Huwezi zuia albadilli kwa Ndumba zimexpire,mtakwisha nyoote.
 
Hayo ni maneno ya Lissu hapo juu nayafananisha na MACHOZI YA MAMBA baada ya kumkosakosa binadamu pale mtoni. Lissu asijifanye mstaarabu, kwani maneno yake ya UCHURO kwa Hayati Rais Magufuli wakati alipokuwa anamzushia kifo na magonjwa ya ajabu ajabu na maneno kashfa nyingi, alikuwa anafikiri nini! Alikuwa anasemewa au alikuwa anaropoka kwa nia na lengo la kuwafurahisha akina BOB wamlipao kwa kusema maneno ya UCHURO, UZUSHI, UONGO NA UZANDIKI humu JF na kwenye mitandao ya kijamii au NINI?! UKURASA mpya utafunguliwa na CCM na Watanzania wapenda amani na maendeleo SIYO VIBARAKA kama akina Lissu. Twende KAZI.
 
Muda unaongea
 
Mitano tena,au nasemaje ndugu zangu mataga?
Mitano IPO PALE PALE chini ya CCM, nyie ngojeni issues ndio mseme, vinginevyo HAMNA HOJA! Kuwe na misiba au furaha, hamtuwezi kwa LOLOTE, labda MATUSI. Hata kama Katiba ingehitaji Presidential By - election, msingeambua CHOCHOTE!
 
Aliwaambia jamaa hayupo duniani mkabisha yametimia.
Alikuwa anasema UZUSHI NA UCHOCHEZI tu, alisema kweli ni the incoming President, Mama Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa JMT na kaitangazia dunia kwa muda muafaka, siyo huyo Tobo, mpiga ramli.
 
Na ni kweli MUDA UTAONGEA, muda hauna mzaha, ukifika wakati wa ukweli utasema na kutenganisha UZUSHI, UZANDIKI, UCHOCHEZI na UKWELI ambao siku zote UNAUMA na KUUMIZA. Tusubiri tuone.
Zama za uongo na propaganda zimeishia jana,sasa ni uwazi na ukweli.
 
Haki ya mtu aipotei Hakuna mtu aliyewahi imiliki dunia
Unayosema yote ni KWELI! Haki ya kila mtu haipotei na hakuna anayemiliki dunia ILA MUNGU YEHOVA! Hivyo kila mtu anapaswa kulijua na kulifahamu hili na siyo kujitangazia haki na umuliki wa "dunia" kama watakavyo WASHINDWA!
 
Zama za uongo na propaganda zimeishia jana,sasa ni uwazi na ukweli.
Zama za UONGO NA UZUSHI NA UCHOCHEZI zilikwisha OKTOBA 2020, kilichobaki ni "mfa maji haishi kutapatapa" na kujaribu ku- justify the receiving of handouts from BOB and his group for personal survival in Belgium.
 
Back
Top Bottom