Airmanula
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 3,524
- 5,785
Angalia usitangulie wewe mheshimiwa sanaAkafie mbele huko na mabeberu zake
Angalia usitangulie wewe mheshimiwa sanaAkafie mbele huko na mabeberu zake
Hilo sasa linategemea umeguswa vipi!Panic na wewe
Kifo hakibadilishwi kwa maneno, kipo na kitaendelea kuwepoAngalia usitangulie wewe mheshimiwa sana
we jike subiri sasa akupandeAkafie mbele huko na mabeberu zake
Heeee kumbe na wewe ni mjinga uliyetukukaAkafie mbele huko na mabeberu zake
Inauma sana, we acha tu. Unajua kinachouma ni dhamira yake ya dhati kuiletea Tanzania Maendeleo!!!!!!!!!Mlificha ugonjwa, Watanzania hatukuweza kumpazia Mungu sauti zetu.
Ingelazimu nyie mlioshindwa kumlinda Mheshimiwa mpaka korona ikampata mukufe wote.
Mumetuangusha sana, Rais kama alikuwa na tatizo la moyo huku mkijuwa mngemlinda.
Pale anafungua stend ya mbezi niliona mkono wake wa kushoto ukiwa umefungwa bandeji hadi vidole vikionekana haviko sawa.
Mbona msimlinde? Mbona msimshauri, mbona ni nyingi.
Anyways, Let Mr. JPM rest Easy.
Uwe na evidence usiropoke kisa ulisikiasikiaHIVI Uliyoandika yanatoka akilin kweli?? Yani mtu amehujum uchumi kisha akatumbuliwa kwa uovu wake eti aludishwe kazini.... DAH ASEE WE JAMAA WEW
Matangazo ya vifo vya watu kama hawa huwa sio ya kukurupukia. Impact yake huwa sio ya polepole.Aliwaambia jamaa hayupo duniani mkabisha yametimia.
Wewe tena hiyo nyingine, tena hata haiusihani kabisa. Bora ufute tu hiyo post udini siyo mzurimamamkubwa
marais wakristo wanapenda sana kujipa stress za bure kwa kuendekeza ubabe usiyo na faida,kibri na jeuri inayowafanya wajaze chuki na simu mioyoni mwao bure!
ndyo wanakufa mapema kuliko marais waislamu!
Mmmh! Hapo ndo huwa nathibitisha kwamba Lissu hakuwa Presidential material. Poor reasoning. Wakati wa bunge la katiba pia alilaani maisha ya Nyerere utadhani anastaafu siasa. Ukurasa mpya huanza kila siku lakini kwa Lissu umeanza kwa tukio hili tu!Lissu ametoa pole kwa familia ya marehemu na Watanzania wote, na kusisitiza kuwa huu ni wakati wa kuanza ukurasa mpya. Maana kwa miaka mi tano watu wameuwawa, wameteswa, wamepoteza kazi na wegine wamebomolewa nyumba zao.
KENGE ni WEWE tena DUANZI.Kubisha mambo ambayo ni kweli.Zumbukuku kabisa!😡Kenge kabisa. Eti vyanzo vya uhakika.
Maendeleo hayo ni another thing, nauliza hao madaktari wake, washauri wake wote walikuwa wapi kumfanya Mheshimiwa asipate korona ?Inauma sana, we acha tu. Unajua kinachouma ni dhamira yake ya dhati kuiletea Tanzania Maendeleo!!!!!!!!!
Maendeleo bila kujali haki za binadamu ni bure.Inauma sana, we acha tu. Unajua kinachouma ni dhamira yake ya dhati kuiletea Tanzania Maendeleo!!!!!!!!!
Nimeandika na kufuta, but Lissu mungu anakuona.Akihojiwa na kituo cha KTN news cha Kenya Tundu Lissu amesema huu ni wakati wa kuanza na ukurasa mpya kama taifa la Tanzania. Maana tayari tumepoteza Kiongozi.
Tundu Lissu amesema kuwa mapema tarehe 7 mwaka huu alihoji kuwa yupo wapi rais Magufuli baada ya kutoonekana kanisani na mitaani. Vyanzo vyake vya uhakika toka serikalini vilimuambia kuwa anaumwa Covid 19. Pia Lissu amesema kuwa marehemu alikuwa mkaidi juu ya hili gonjwa juu ya kuvaa barakoa, kupata chanjo na kutumia njia za kisayansi kupambana nalo badala yale aliamini zaidi njia za kienyeji.
Lissu ametoa pole kwa familia ya marehemu na Watanzania wote, na kusisitiza kuwa huu ni wakati wa kuanza ukurasa mpya. Maana kwa miaka mi tano watu wameuwawa, wameteswa, wamepoteza kazi na wegine wamebomolewa nyumba zao.
Siamini kama ilikuwa ni Corona maana daktari wake alishamtibu ndugu yangu aliyekuwa na corona akapona kabisa. Hivyo asingeshindwa. Siyo Corona ila sijui ni nini! Ila alijua kuwa atakufa wakati wowote ndo maana alikuwa kila siku anatuhusia tumuombee kwa molaMaendeleo hayo ni another thing, nauliza hao madaktari wake, washauri wake wote walikuwa wapi kumfanya Mheshimiwa asipate korona ?
Naomba utuache najua unafuraha na sie tuna huzuni.Maendeleo bila kujali haki za binadamu ni bure.
Nyie ndio mlikuwa mnasema jiwe hatokufa na atatawala mpaka atakapoamua yeye, haya tangulieni chatoSawa.... ukweli ndio huo.
Lissu hawezi kuwa Raisi wa Tanzania.