Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,639
- 47,716
Kosa kubwa walilokamatwa nalo ni kusema rais mgonjwa, ilhal ni mzima wa afya. Sasa ukweli umejulikana ya kuwa alikuwa mgonjwa, what happens to them?Kihelele kimewaponza wanafikiri kila taarifa ni ya kutoa kwa kuwa umejua, kila kitu kinamipika na miiko.
Usimuige tundu lissu kwa kuwa alisema yeye ni mwanasiasa na inawezekana kwa kusema hayo ni sehemu ya kutengeneza status yake katika kazi yake, sasa wewe kajambanani mmoja kutoka chifutuka kihelele cha nini? Walio kamatwa wafanywe lolote tu kulingana na sheria itakuwa sawa .