Nakuhakikishia duniani huezi ukapendwa na wote!
Uko sahihi kabisa mkuu. Ila ina kuwaje una chukiwa na wengi?
Taja mwingine mwenye cheo tajwa aliwahi chukiwa kiasi hicho?
Taja mwingine mwenye cheo tajwa aliwahi liza wengi kipindi chake?
Taja mwingine mwenye cheo tajwa aliwahi chukuwa pesa za watu kwenye account
Taja mwingine mwenye cheo tajwa aliwahi nyima watu kuongea kwenye nchi yao
Taja mwingine mwenye cheo tajwa aliwahi zuia wenye mimba wasiendele na masomo
Taja mwingine mwenye cheo tajwa aliwahi fanya nchi jirani zika tuogopa kibiashara, kiafya etc
Taja mwingine mwenye cheo tajwa aliwahi minya vyombo vya habari
Taja mwingine mwenye cheo tajwa aliwahi kataa scientific researches naku support local means
Taja mwingine mwenye cheo tajwa aliwahi endesha nchi kwa mabavu bila ushauri toka bunge na viongozi wenzake
Taja mwingine mwenye cheo tajwa aliwahi pitisha nchi kwenye wakati mgumu kiuchumi mpaka watu wamefilisika makampuni yamefungwa
Taja mwingine mwenye cheo tajwa aliwahi pata skendo ya watu kupotea bila taarifa wala uchunguzi kufanyika
Taja mwingine mwenye cheo tajwa aliwahi funga viongozi wa upinzani kwa kosa la kukosolewa
Taja mwingine mwenye cheo tajwa aliwahi aliwahi shinda kwa kura asilimia 80
Taja mwingine mwenye cheo tajwa aliwahi endesha nchi bila kuzingatia katiba ya nchi
Taja mwingine mwenye cheo tajwa aliwahi jisifi hadharani mfano Yeye kiongozi wa malaika