Anyway anavyoongea utadhani kama hatakufa
We nae acha ushamba mfumo wa umeme wa Mwili kila binadamu anaoMzee alikuwa anajistress na maukali kumbe ana mfumo WA umeme. Ila MUNGU huyu kumbe wakati Lowassa anakebehiwa na aliekuwa anadhaniwa ni mzima kumbe nae anatembea na mifumo.
Lisu hawezi kuwa rais
Ccm itaendelea kuwa madarakaniSio lazima awe rais, tunataka utawala wa wa haki na sheria.
MUNGU atutie nguvu kwa kweliKuamini itachukua muda.
Kila kitu lazima kiwe na mwanzo na mwisho!Ccm itaendelea kuwa madarakani
Nyie bado tu hampati somo. Ubabe hautaisaidia nchi.Lisu give us a brake! Hatuhitaji ukurasa mpya, tunahitaji muendelezo wa ukurasa huo huo, muendelezo wa awamu ya tano! Awamu ya sita ni mwaka 2025! Jemadari wa kusimamia muendelezo huo tunaye #tunaimaninaSamiaSuluhu#. Mabeberu na vibaraka wao hamtakuwa na nafasi!! na hatutawapa nafasi!! Tanzania tuko macho!!
Lisu na Lema waoga. Heri hata mnyikaLissu arudi sasa tusaidiane kufungua huu ukurasa mpya
Ccm itaendelea kuwa madarakaniKila kitu lazima kiwe na mwanzo na mwisho!
Kama CCM hamjajifunza kwa tukio hili la kuondokewa na Mwenyekiti wenu ghafla bin- vuu basi subirini majira na majibu ya jinsi Mungu anavotenda kazi zake kiajabu bila kutegemea akili za binadamu!!!
Waliobaki wanaweza wakawa wabaya mno kuliko huyo aliyeondoka.Kwanini walificha taarifa???Mgonjwa gani tena? Si waziri mkuu alisema ni mzima kajifungia Ikulu anachapa kazi.
Waoga? Unafanya mchezo na uhai weweLisu na Lema waoga. Heri hata mnyika
Ficheni basi ujinga wenu.Aisee,
Hivi kweli kuna mijitu inaongea hapa km vile ni jambo la kawaida tu.
Ni majambazi,mijizi,mila hongo na mifisadi itashangilia hiki kifo.
Ila mkae sawa atakuja mkali wenu mwingine.
Haswa majaliwa, mtu mbaya sanaWaliobaki wanaweza wakawa wabaya mno kuliko huyo aliyeondoka.Kwanini walificha taarifa???
CCM itaendelea kufa taaaratibu na kimyakimya...!!!Ccm itaendelea kuwa madarakani