IDEGENDA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 4,492
- 5,350
Ccm itaendelea kuwatawala wewe na huyo Lisu wakoCCM itaendelea kufa taaaratibu na kimyakimya...!!!
Ccm itaendelea kuwatawala wewe na huyo Lisu wakoCCM itaendelea kufa taaaratibu na kimyakimya...!!!
Kiongozi mkubwa wa nchi unasimama firm,unasema uongo waziwazi!Haswa majaliwa, mtu mbaya sana
PM Alijidhalilisha sana; Ni Bora Angenyamaza kimya tu; Kusema anachapa kazi wakati anaumwa sidhani kama ilikuwa jambo jema, Infact aliongea kama mtu mwenye Jazba huku akiwashambulia watu amabao walikuwa wanatoa tetesi ambazo zilikuwa na vinasaba vya ukweli; Mama Samia ndio aliongea kwa staha na heshima sana kwa kuthabarisha mambo yalivyo japo sio kwa moja kwa moja; Ila tulimuelewaMgonjwa gani tena? Si waziri mkuu alisema ni mzima kajifungia Ikulu anachapa kazi.
Nasikia jamaa walikuwa wanajipa muda wa kuhamisha mifedha toka Hazina na bulkgold toka BOT.... !!! Hakika wahenga walisema KUFA KUFAANA.Waliobaki wanaweza wakawa wabaya mno kuliko huyo aliyeondoka.Kwanini walificha taarifa???
Akili za kipuuzi hizi. Mawe tu wenzio walipiga magazine nzima na bado yupo .Hata kama itaundwa ila Lisu akipewa uongozi wowote mimi ntamvizia nmpige mawe
Hakika jamaa supika anajua kujificha kimbinguniHivi supika yupo? Wapi?
Jiwe moja tu la utosi chiniAkili za kipuuzi hizi. Mawe tu wenzio walipiga magazine nzima na bado yupo .
Mkuu achana na huyo mjinga,bado angali anaota ndoto za mchana.Maybe inabidi ujiandae wewe mzee the world has changed. Overnight! Be wise!
Magufuli is no more but Lissu is still alive...!!!Ccm itaendelea kuwatawala wewe na huyo Lisu wako
Lisu na chadema hawawezi kuwa rais, ila ccm itateua mwingine na kuendelea kuwa madarakaniMagufuli is no more but Lissu is alive...!!!
Can you see the difference there? Unless you must be sick in your head!
Italeta fursa mpya pia kwa mafisadi na wezi wa mali ya umma na miradi yote iliyowekezwa kwa pesa zetu kufa. God forbid for that to happen
Adui wa Taifa ameshakufa lakini Rafiki wa Taifa ndiye Mungu kamuepusha na kifo!!! Acha Mungu aitwe Mungu.Lissu adui wa Taifa
Kwa maana alikuwa malaika? asingalikufa?Kuamini itachukua muda.
Kwamba yeye ndiyo kaleta Corona ?!. Mlipoambiwa kudhibiti wakati bado tuna mgonjwa moja . Mlidai mnataka watalii waje, na wa China mkawapa ofa . Leo wacha tujute .Jiwe moja tu la utosi chini
Nakuhakikishia duniani huezi ukapendwa na wote!Labda mimi ndio sijui!!! Ila kwanini mahakama zikawa na adhabu za kunyongwa mpaka kufa? au sio adhabu? Biblia nayo ikasema auaye kwa upanga ata kufa kwa upanga!!!! Mmmmhhh manake nini?
Lets be real nigger KARMA IS A BITCH. Kuna watu kibao wanalia, wanasononeka wamekuwa viwete, wamekuwa maskini wameachwa na familia zao wamekufa. Nadhani tume elewana KARMA IS REAL. Ishi vizuri na watu, penda watu, heshimu watu na skiliza ushauri wa watu.
Subiri utajua Lisu akileta pua yake hapaKwamba yeye ndiyo kaleta Corona ?!. Mlipoambiwa kudhibiti wakati bado tuna mgonjwa moja . Mlidai mnataka watalii waje, na wa China mkawapa ofa . Leo wacha tujute .
Unategemea ampende kwa yote aliyomfanyia?Arudi sasa.
Ila mwambieni marehemu asemwi vibaya.
Nimemsikia maneno aliyosema bado ana chuki na magufuli