toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,965
- 12,556
Maybe this could be the end of despotic rule
kabisaa
Maybe this could be the end of despotic rule
Hata ungekuwa ni wewe..Risasi zaidi ya 30 unadiriki kumuita Muoga? Basi uoga una maana nyingine tusiyoijua.Lisu na Lema waoga. Heri hata mnyika
Mh Job Ndugai yupo wapi na anafanya nini?Wee ni mgonjwa pumzika kwa amani
Akikujibu unitag mkuuUko sawa kabisa mkuu huja kosea hata kidogo. Wataalam wana kuambia hembu tupime yale mazuri na mabaya ya mtu ndio uta mjuwa ni mtu wa namna gani. Sasa ni saidie na wewe chini ya uzi huu tupeane elimu shuka mazuri ya jamaa alafu tutapima na mabaya yaliopo alafu mwisho tutamalizia ni mtu wa namna gani. Na ngoja mazuri yake mkuu>>>>>
Sawa mkuu nimekusoma. Uwe na safari njema na picha picha ukiwa huko usiache kutu tumiaAkikujibu unitag mkuu
Niko safarini naelekea chattle
Lissu uraisi atausikia tu.Kiukweli pamoja na mazuri yote ya Magufuli ila nikifikiria ishu ya lissu hata majonzi yanapotea, walimfanyia unyama sana, risasi zile na bado walioguswa nae mitandaoni walidhibitiwa marafiki zake wakanyanyaswa ikafikia hatua watanzania kumchangia matibabu na maisha yake, stahiki zake akanyang'anywa, kama Mungu tunayemuita yupo basi msishangae lissu akakalia kiti alichokuwa amekalia marehemu Magufuli,,
Yes, aliyetaka kuongeza muda na yeye kaondoka nao.Lissu uraisi atausikia tu.
Ni kweli tuanze ukura mpyaLissu karma is a bitch.
Lisu na wengine Walioko nje warudi. Tujue kama kweli alikuwa adui yao au wana uadui na watanzania.CCM washafungwa hao... Walete mpira Kati!
labda wewe na ukoo wako
Binadamu wote tutakufa....tunasubiri muda tu.Yes, aliyetaka kuongeza muda na yeye kaondoka nao.
Kama Magufuli uhai anavyousikilizia kwa Sasa😂😂😂 mkisikia jina la lissu matako yanawapwita kweli,,, mmeona dhihaka zinavyokera eeh na badoLissu uraisi atausikia tu.
Kihelele kimewaponza wanafikiri kila taarifa ni ya kutoa kwa kuwa umejua, kila kitu kinamipika na miiko.Hivi wale waliokamatwa kwa kosa la kueneza uvumi eti rais anaumwa, hatma yao inakuwaje?
nikakumbuka zile push up gafla [emoji19]Mzee alikuwa anajistress na maukali kumbe ana mfumo WA umeme. Ila MUNGU huyu kumbe wakati Lowassa anakebehiwa na aliekuwa anadhaniwa ni mzima kumbe nae anatembea na mifumo.