Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Mambo yalianza hivi....Hivi supika yupo? Wapi?
Mambo yalianza hivi....Hivi supika yupo? Wapi?
Yule bwana ni katili sanaHaswa majaliwa, mtu mbaya sana
Acha hizo scientist uchwara. Kaondoka huyo. Kupata ukurugenzi nimr hakupo tena. Thankful to God 100%. God-fearing president 0%! Hakuwa hata chembe!Tanzania is a least affected country by covid 19! You ought to be thankful to God and to the God fearing President we were blessed to have!
inapaswa waliowakamata nao wakamatwe.....wangesema waTanzania wangepaza sauti Mungu angempoyaHivi wale waliokamatwa kwa kosa la kueneza uvumi eti rais anaumwa, hatma yao inakuwaje?
Yupo, juzi nilimuona akipanda miti huko kwaoHivi supika yupo? Wapi?
Bwege sana wewe mama samia afukue kitu gani?ye mwenyewe wanampiga chini kesho mbali. Hivi umesahau kama unaishi third world country?Ficheni basi ujinga wenu.
Hiki kipindi mmeifilisi sana nchi. Naomba mama Samia afukue makaburi yenu. Maana saizi mnajifanya mlikua mnatetea wanyonge
Lissu ametoa pole kwa familia ya marehemu na Watanzania wote, na kusisitiza kuwa huu ni wakati wa kuanza ukurasa mpya. Maana kwa miaka mi tano watu wameuwawa, wameteswa, wamepoteza kazi na wegine wamebomolewa nyumba zao.
Hivi
Mh Job Ndugai yupo wapi na anafanya nini?
Hahaha 😂😂😂😂mbona umekuwa mnyonge ghafla!! Saiv ndo akili imerudi sio😂😂😂😂😂 mbwa nyieUkweli utabaki kuwa ukweli....JPM amekufa, nafasi yake inachukuliwa na mama Samia.
We utakayeishi milele endelea kushangilia.
Kama lisu mbwa embu jitazame hapo ulipo na ufakara uliona nao utakuwa Nani? Ok nimepata jibu: utakuwa mavi ya mbwa ya wazunguLisu mbwa wa wazungu ataiuza nchi huyo #Traitor
Subiri, labda aombe msamahawewe una nini hasa mpaka uwe na haki kuliko huyo lissu yaani wewe nani hasa kuzidi hata aliyetwaliwa
Tutamuona siku ya kumuaga marehemu. Tusubiri.Mambo yanaanzaga hivi hivi! Anyway tukiuliza sana watasema yuko fresh anachapa kazi.
Those are your true colours, mama Demons!Aje tuu ila ajue Tanzania haipo pale alipoiacha.... imesonga mbele sana na inazidi kusonga mbele.
Tena sasa atakutana na Mama aliyenyooshwa na kunolewa na makali yake! Atakutana na team ya viongozi wazalendo waliopikwa na kuiva