900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 9,485
- 11,556
CCM ilishakufa iliyobaki ilikuwa ya magu naye pia ameenda nayo ya kwakeHata 2025 tutawagonga sana tu! Tena na hivi watz wameona sura halisi ya yule mbelgiji asubiri kugongwa tu!
CCM ilishakufa iliyobaki ilikuwa ya magu naye pia ameenda nayo ya kwakeHata 2025 tutawagonga sana tu! Tena na hivi watz wameona sura halisi ya yule mbelgiji asubiri kugongwa tu!
Subiri majibu utayaona 2025CCM ilishakufa iliyobaki ilikuwa ya magu naye pia ameenda nayo ya kwake
Tatizo umepanic......Hahaha 😂😂😂😂mbona umekuwa mnyonge ghafla!! Saiv ndo akili imerudi sio😂😂😂😂😂 mbwa nyie
Umeongea fact nyingi lakini Lisu na Lema ni malaya tu wa kisiasa wala hawastahiki kujadiliwa hapa kwa sasaTutengeneze serikali ya umoja wa kitaifa hii nchi ilipasuka saana mpaka viongozi kuombeana vifo! Zanzibar waliweza kabla bara hatujafika mbali embu tujisahihishe watu watulivu wa upinzani wajumuishwe serikalini!! MTU kama Mbowe,Zitto,Mdee wapewe tukazi tusaidizane na kufuta mauhasama, YAKALE YAMEPITA TAZAMA YAMEKUWA MAPYA... Huyu LIssu(aliyetetea nchi na kuteswa sana) awe hata balozi hukohuko alikozamia.
Kuendeleza maubabe au utengano kutazidi tia nyufa umoja wetu amani yetu na udugu wetu kama watanzania. KISHA,
- Hatua stahiki zichukuliwe katika kupambana na corona(tusijidanganye).
-Walio magereza kesi zao zichunguzwe viziri na haraka haki itendeke mapema iwezekanavyo.
-Waloumia,kutekwa,kushambuliwa walipwe fidia au kuombwa radhi (mbona marekani waliweza kwa Floyd MTU mweusi aliyeuwawa mpaka raid kumpigia goti mtoto wake)!!
-Ukanda/ukabila ama udini kwenye teuzi visitishwe na miradi yenye upendeleo MTU atokako isimame na itathminiwe upya...MF. Lihospitali chato,likiwanja lampira huko,madaraja huko including busisi lilojengwa kwa hisia binafsi zamtu nk
-Katiba mpya mchakato urejeshwe na kazi ikamilishwe.
-Waliofutwa kazi watathminiwe,wafanyakazi wapewe stahiki zao madeni ya hovyo yasitishwe kisheria.
TUSIPOJIREKEBISHA TUKAJITIA UBABE TUTAJENGA TAIFA JUU DHAHABU WAKATI CHINI NI UDONGO!! BILA MISINGI IMARA HATUTOBOI!!
#MITANO KWA SULUHU
endeleeni kutengeneza mpasuko malaya wako ccmUmeongea fact nyingi lakini Lisu na Lema ni malaya tu wa kisiasa wala hawastahiki kujadiliwa hapa kwa sasa
Wewe unasemaje?Lissu ametoa pole kwa familia ya marehemu na Watanzania wote, na kusisitiza kuwa huu ni wakati wa kuanza ukurasa mpya. Maana kwa miaka mi tano watu wameuwawa, wameteswa, wamepoteza kazi na wegine wamebomolewa nyumba zao.
Post zenu zinasababisha watu wazidi kumchukia Magufuli. Wala haziisaidii nchi wala ccm.Subiri, labda aombe msamaha
Admins,Hata kama itaundwa ila Lisu akipewa uongozi wowote mimi ntamvizia nmpige mawe
Unalilia nini sasa? Wanopaswa kupigwa ban huwaoni?Admins,
This person deserves a permanent IP ban
Serikali ni taasi. Rais Magufuli alikua kiongozi mkuu ndani ya hiyo taasi na bado watendaji wapo wanachapa kaziThose are your true colours, mama D!
Una appointment nae?Hivi supika yupo? Wapi?
Ok nimawazo yako! siyaheshimu lakini nimejaribu kufikiri Lissu amewahi kumdhulumu nani nini? Au mivutano yake namtu ndiyo tuingilie na kuchagua upande wa mwenyenguvu?? Lissu na Ramadhani ighondu sjui (mkumbuke ulimboka) nani anastahili kukaa bungeni?? Au lema na Katambi nani angefaa kuwa bungeni/wizarani??Umeongea fact nyingi lakini Lisu na Lema ni malaya tu wa kisiasa wala hawastahiki kujadiliwa hapa kwa sasa
Ndo anaongea na waandishi wa habari muda huu mkuu'Hivi supika yupo? Wapi?
Umepanic!Akafie mbele huko na mabeberu zake
Kweli una msiba mzitoUmeongea fact nyingi lakini Lisu na Lema ni malaya tu wa kisiasa wala hawastahiki kujadiliwa hapa kwa sasa
Panic na weweUmepanic!