tutafungua ukurasa mpya sisi Watanzania, yeye ni mbelgiji, atuachie nchi yetu.tangu majuzi anasherehekea kifo cha Rais.Akihojiwa na kituo cha KTN news cha Kenya Tundu Lissu amesema huu ni wakati wa kuanza na ukurasa mpya kama taifa la Tanzania. Maana tayari tumepoteza Kiongozi...
Muda unaongeaHayo ni maneno ya Lissu hapo juu nayafananisha na MACHOZI YA MAMBA baada ya kumkosakosa binadamu pale mtoni. Lissu asijifanye mstaarabu, kwani maneno yake ya UCHURO kwa Hayati Rais Magufuli wakati alipokuwa anamzushia kifo na magonjwa ya ajabu ajabu na maneno kashfa nyingi, alikuwa anafikiri nini! Alikuwa anasemewa au alikuwa anaropoka kwa nia na lengo la kuwafurahisha akina BOB wamlipao kwa kusema maneno ya UCHURO, UZUSHI, UONGO NA UZANDIKI humu JF na kwenye mitandao ya kijamii au NINI?! UKURASA mpya utafunguliwa na CCM na Watanzania wapenda amani na maendeleo SIYO VIBARAKA kama akina Lissu. Twende KAZI.
Mitano IPO PALE PALE chini ya CCM, nyie ngojeni issues ndio mseme, vinginevyo HAMNA HOJA! Kuwe na misiba au furaha, hamtuwezi kwa LOLOTE, labda MATUSI. Hata kama Katiba ingehitaji Presidential By - election, msingeambua CHOCHOTE!Mitano tena,au nasemaje ndugu zangu mataga?
SHETANI naye ni bwana wa majeshi wachafu na ndiye huyo unayemtangaza na kutangaza habari zake humu JF.Waliotaka Lowasa na Lisu watangulie,watangulia wao watapukutika wote Hadi waishe kabla yao asema Bwana wa Majeshi.
Wanaonyeshwa uhalisia wa mambo hawataki.. wanataka unafiki tu kama huko ccm kwao.Nime mshangaa sana huyo jamaa
Alikuwa anasema UZUSHI NA UCHOCHEZI tu, alisema kweli ni the incoming President, Mama Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa JMT na kaitangazia dunia kwa muda muafaka, siyo huyo Tobo, mpiga ramli.Aliwaambia jamaa hayupo duniani mkabisha yametimia.
Haki ya mtu aipotei Hakuna mtu aliyewahi imiliki duniaAlikuwa anasema UZUSHI NA UCHOCHEZI tu, alisema kweli ni the incoming President, Mama Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa JMT na kaitangazia dunia kwa muda muafaka, siyo huyo Tobo, mpiga ramli.
Na ni kweli MUDA UTAONGEA, muda hauna mzaha, ukifika wakati wa ukweli utasema na kutenganisha UZUSHI, UZANDIKI, UCHOCHEZI na UKWELI ambao siku zote UNAUMA na KUUMIZA. Tusubiri tuone.Muda unaongea
Nenda msibani sasa beko weweMitano IPO PALE PALE chini ya CCM, nyie ngojeni issues ndio mseme, vinginevyo HAMNA HOJA! Kuwe na misiba au furaha, hamtuwezi kwa LOLOTE, labda MATUSI. Hata kama Katiba ingehitaji Presidential By - election, msingeambua CHOCHOTE!
Sio ukafufue wafu kule chato?Hata kama itaundwa ila Lisu akipewa uongozi wowote mimi ntamvizia nmpige mawe
Zama za uongo na propaganda zimeishia jana,sasa ni uwazi na ukweli.Na ni kweli MUDA UTAONGEA, muda hauna mzaha, ukifika wakati wa ukweli utasema na kutenganisha UZUSHI, UZANDIKI, UCHOCHEZI na UKWELI ambao siku zote UNAUMA na KUUMIZA. Tusubiri tuone.
Unayosema yote ni KWELI! Haki ya kila mtu haipotei na hakuna anayemiliki dunia ILA MUNGU YEHOVA! Hivyo kila mtu anapaswa kulijua na kulifahamu hili na siyo kujitangazia haki na umuliki wa "dunia" kama watakavyo WASHINDWA!Haki ya mtu aipotei Hakuna mtu aliyewahi imiliki dunia
Chifu mbona spika yupo tu.Na leo amesema kuwa miradi mikubwa yote aliyoianzisha jpm atahakikisha inakamilika.Hivi supika yupo? Wapi?
Zama za UONGO NA UZUSHI NA UCHOCHEZI zilikwisha OKTOBA 2020, kilichobaki ni "mfa maji haishi kutapatapa" na kujaribu ku- justify the receiving of handouts from BOB and his group for personal survival in Belgium.Zama za uongo na propaganda zimeishia jana,sasa ni uwazi na ukweli.