tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,894
- 19,779
Mungu yupi huyo au unamaanisha mungu wa chatoMwenye akili timamu huwezi kushangilia kifo.na Hawa Kama Rais na madai yako ya kushangilia yawe ya haki mbele za Mungu.
Mungu yupi huyo au unamaanisha mungu wa chatoMwenye akili timamu huwezi kushangilia kifo.na Hawa Kama Rais na madai yako ya kushangilia yawe ya haki mbele za Mungu.
Basi azikwe na Mobisol kwenye Bukta labda betri itashtua mapigo ya moyo.
Mkubwa tuombe tu Mungu maana nakumbuka utawala wa JK wanannchi tulivyokuwa tukilalama bila kusikulizwaNaamini kifo cha Magufuli kitaleta muelekeo mpya kwenye masuala kadhaa ikiwemo utawala bora na haki za binadamu, ili kulileta pamoja tena taifa letu.
Lakini kwenye kufanya kazi kwa bidii itabidi tumuenzi kwa kuendeleza pale alipoishia, ameonesha kwa vitendo kuwa kiongozi mkuu wa nchi unatakiwa kuwatumikia watanzania kwa dhati, sio kukaa tu ofisini, ili kuwapelekea maendeleo ya kweli wananchi.
Na masuala mengine yakiwemo kulinda mali za umma, na uwajibikaji, watu wasifanye kazi kwa mazoea ukikosea mahali pako pa kazi uwe tayari kuwajibika/wajibishwa, pia uthubutu wake kwenye utendaji ikiwemo ujenzi wa miradi mikubwa kama SGR, meli mpya Ziwa Victoria, na mingineyo, hakika yapo mengi mazuri yakumkumbuka.
Hasira za marehemu zilipanda akamchapa risasi, ila Marehemu ni jina la heshima kumbeLissu atuache.
Tuko msibani asipandishe hasira za watanzania.
Wait yako kwanza.. haya ndio yamemponza Meko.Am waiting siku ya bwana chuma
Ubabe mwingi kumbe spana mkononi.Naskia walimfungia betri ya ist N40 isaidie saa isizime,yani mungu fundi haswa katupa raha sana
Wait yako kwanza.. haya ndio yamemponza Meko.
Alijua rais hawezi kufa mpaka azeeke kisigino
Hiki ndio kila mtu akijue, sio kuwindana kama mazombi.Hata wewe utakufa so hakuna anayejua siku wala saa
#cantwait
Kwa marehemu Mawazo, walisema hawataaga mwili kwasababu ya kipindupindu mkoani Mwanza. Na huo ndo upumbavu ambao inabidi tawala za CCM ziuache.Watanzania tunatembeleana Magerezani kama Lema alipo wekwa ndani Wabunge wenzake walikatazwa
Watanzania tunapeana nafasi za kuaga maiti bila bugudhi sio kama Ndesamburo alivyonyimwa kuagwa
Hebu lissu awe anaongea kwa break sio kila kitu ni kufungua kinywa tuAkihojiwa na kituo cha KTN news cha Kenya Tundu Lissu amesema huu ni wakati wa kuanza na ukurasa mpya kama taifa la Tanzania. Maana tayari tumepoteza Kiongozi.
Tundu Lissu amesema kuwa mapema tarehe 7 mwaka huu alihoji kuwa yupo wapi rais Magufuli baada ya kutoonekana kanisani na mitaani. Vyanzo vyake vya uhakika toka serikalini vilimuambia kuwa anaumwa Covid 19. Pia Lissu amesema kuwa marehemu alikuwa mkaidi juu ya hili gonjwa juu ya kuvaa barakoa, kupata chanjo na kutumia njia za kisayansi kupambana nalo badala yale aliamini zaidi njia za kienyeji.
Lissu ametoa pole kwa familia ya marehemu na Watanzania wote, na kusisitiza kuwa huu ni wakati wa kuanza ukurasa mpya. Maana kwa miaka mi tano watu wameuwawa, wameteswa, wamepoteza kazi na wegine wamebomolewa nyumba zao.
Mwambie arudi sasa amalizie moja aliyobakisha ili na yeye apumzike! AU BADO ANAOGOPA KIVULI?Lissu ametoa pole kwa familia ya marehemu na Watanzania wote, na kusisitiza kuwa huu ni wakati wa kuanza ukurasa mpya. Maana kwa miaka mi tano watu wameuwawa, wameteswa, wamepoteza kazi na wegine wamebomolewa nyumba zao.