Tundu Lissu: Ni wakati wa kufungua ukurasa mpya kama Taifa

Tundu Lissu: Ni wakati wa kufungua ukurasa mpya kama Taifa

Watanzania tunatembeleana Magerezani kama Lema alipo wekwa ndani Wabunge wenzake walikatazwa
Watanzania tunapeana nafasi za kuaga maiti bila bugudhi sio kama Ndesamburo alivyonyimwa kuagwa
Tupopamoja.
Ataetaka kuvuruga utamaduni wa watanzania wakati huo anamtaja mwenyezi mungu kila wakati bila ya utalatibu mzuri.
Mwenyezi mungu ninaemjua mimi wa watanzania hawezi kumuacha.
 
Mwenye akili timamu huwezi kushangilia kifo.na Hawa Kama Rais na madai yako ya kushangilia yawe ya haki mbele za Mungu.
 
Kwan hata yeye angekuwa madarakani watu wasingepoteza kazi,wasingeuawa hayo mambo yapo tu hayakosi ya kaanza vizuri ila ametibua hapo kwamba miaka mitano watu wameuawa....

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Mlete kwanza dereva wako uliyemficha kule Ubeljiji ili kesi ya kushambuliwa kwako ianze kunguruma na usanii wako wewe Lissu uonekane wazi wazi
Alipokuja mliishia kukata mauno tu. Sikia tukwambie ukweli mchungu Yesu alisema shetani awezi kumtoa shetani mwezake. Hakuna kesi mtafanya Wala uchunguzi.peleka upumbavu kwa wajinga wezako.alafu mnamshambulia Lisu kana kwamba yeye ndiyo kamuua rais. Mifuvu mijinga Kama lako ndiyo tatizo la hii nchi.
 
Aje tuu ila ajue Tanzania haipo pale alipoiacha.... imesonga mbele sana na inazidi kusonga mbele.
Tena sasa atakutana na Mama aliyenyooshwa na kunolewa na makali yake! Atakutana na team ya viongozi wazalendo waliopikwa na kuiva
Viongozi gani waliopikwa..?

Hawa ambao wanasema rais wao anachapa kazi kwenye jeneza.
 
Kwan hata yeye angekuwa madarakani watu wasingepoteza kazi,wasingeuawa hayo mambo yapo tu hayakosi ya kaanza vizuri ila ametibua hapo kwamba miaka mitano watu wameuawa....

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo kuuwa ni kawaida? Kwa kiongozi basi ikiwa hivyo hiyo nafasi inawafaa watu wa shetani tu.
 
Lissu si walikwambia Nyumbani kumedamshi rudi... nawe Lissu tunakupa miaka miwili tu mkadashiane huko huko dunia tunapita mbona
Lisu anajua Kuna kufa.tatizo ni yule mliyemchukulia Kama mungu kwenu ndiyo maana mkakataa kusema anaumwa sababu kamungu mtu akapaswi kuumwa. Mngejua hata yeye angepita hata Lisu msingempiga risasi
 
Haya maswali sio mazuri kabisa!!
Yana miisho mibaya
 
Back
Top Bottom