Tundu Lissu: Ni wakati wa kufungua ukurasa mpya kama Taifa

Aliyesema Magu katangulia mbele za haki tangu 12 March 2021 ni Chahali na huyu hakubadili kauli yake. Alisisitiza hivyo mpaka jana

Wengine walikuwa wanaguess tu. Mara yupo Mzena, Nairobi, kafariki, yupo India, ameparalyse etc
tupe ushahidi kwamba walikuwa wana guess.
 
Ulafi wa madaraka, autumuacha mtu salama....
Atuitaji ukarasa mpya tunachoutaji ni kazi na wala si Lissu kuanzisha kurasa mpya, kwani kila mmoja ataanzisha kurasa zake upya juu ya kupambana na ujinga na upumbuvu uliwajaa wenye matamanio ya kupiga madili.
Endeleeni kutembeza pua kama mnanusa kopo la mkojo.

Peleka karata chato
 
Lisu anatakiwa wodini Milembe, aje anywe dawa zake za ukichaa! Maana ni mgonjwa wa akili!
 
Lisu hawezi kuwa rais
Lisu hawezi kuwa Rais wa Tanzania kamwe!! Amejiharibia Sana!! Amekosa hekima!! Bahati mbaya halijui hilo!! Lisu wa sasa amegeuka kuwa adui wa watanzania walio wengi!!! Asahau urais.
Asilolijua Lisu ni kwamba watanzania walikuwa wanampenda Sana Dr Magufuli!!
 
Lissu ametoa pole kwa familia ya marehemu na Watanzania wote, na kusisitiza kuwa huu ni wakati wa kuanza ukurasa mpya. Maana kwa miaka mi tano watu wameuwawa, wameteswa, wamepoteza kazi na wegine wamebomolewa nyumba zao.
Na hii ndo hoja ya msingi
 
Lisu hawezi kuwa Rais wa Tanzania kamwe!! Amejiharibia Sana!! Amekosa hekima!! Bahati mbaya halijui hilo!! Lisu wa sasa amegeuka kuwa adui wa watanzania walio wengi!!! Asahau urais.
Asilolijua Lisu ni kwamba watanzania walikuwa wanampenda Sana Dr Magufuli!!
Unadanganya watu,watu wanasherekea kimyakimya
 
Mama Samia usiwape nafasi majizi na mafisadi ya mali ya umma!! Saa hii ukiona mtu anajisogeza kwako kwa ghafla, mwogope kama ukoma!! Mafisadi saa hii yanachora ramani!!
Huo ukurasa mpya inayopigiwa chapuo ni wizi mtupu!!
Wakatishwe tamaa kwa kuwaambia: "Tunaendeleza ukurasa huo huo ulioachwa na Dr Magufuli"
 
Lisu hawezi kuwa Rais wa Tanzania kamwe!! Amejiharibia Sana!! Amekosa hekima!! Bahati mbaya halijui hilo!! Lisu wa sasa amegeuka kuwa adui wa watanzania walio wengi!!! Asahau urais.
Asilolijua Lisu ni kwamba watanzania walikuwa wanampenda Sana Dr Magufuli!!
Siyo lazima awe rais ila haki yake ya kuishi iheshimiwe.
 
Mama Samia usiwape nafasi majizi na mafisadi ya mali ya umma!! Saa hii ukiona mtu anajisogeza kwako kwa ghafla, mwogope kama ukoma!! Mafisadi saa hii yanachora ramani!!
Huo ukurasa mpya inayopigiwa chapuo ni wizi mtupu!!
Wakatishwe tamaa kwa kuwaambia: "Tunaendeleza ukurasa huo huo ulioachwa na Dr Magufuli"
Wee ni mgeni hapa nchini?, Majizi na walafi wa nchi hii wako CCM.
 
Back
Top Bottom