Tundu Lissu: Ni wakati wa kufungua ukurasa mpya kama Taifa

Mkubwa tuombe tu Mungu maana nakumbuka utawala wa JK wanannchi tulivyokuwa tukilalama bila kusikulizwa
 
Watanzania tunatembeleana Magerezani kama Lema alipo wekwa ndani Wabunge wenzake walikatazwa
Watanzania tunapeana nafasi za kuaga maiti bila bugudhi sio kama Ndesamburo alivyonyimwa kuagwa
Kwa marehemu Mawazo, walisema hawataaga mwili kwasababu ya kipindupindu mkoani Mwanza. Na huo ndo upumbavu ambao inabidi tawala za CCM ziuache.
 
Dah, ndugu yangu ukijiuliza sana unaweza Anza kulia.
Tumuachie Mungu ambaye ni alfa na omega
 
Lissu awe na akiko happy hats kidogo.
Muda kama huu ukitafutwa na vyombo vya hbr ni busara kuwaambia tupo kwenye maombolezo ngoja msiba uishe.
Hata walikuokuwa wanakuombea sahiz watakuchukia sasa kwa nn usifunge bakuli?
Ukitekenywa kidogo umemwaga boko tayr
 
Nawaza tu sasa tuta tanua na Bombardier hee! kale kauwanja ka chato sijui zitatua ndege za wapi wanafunzo msokuwa na nauri ofa hiyooo ya mwaka mzima
 
Hebu lissu awe anaongea kwa break sio kila kitu ni kufungua kinywa tu
 
Ulafi wa madaraka, autumuacha mtu salama....
Atuitaji ukarasa mpya tunachoutaji ni kazi na wala si Lissu kuanzisha kurasa mpya, kwani kila mmoja ataanzisha kurasa zake upya juu ya kupambana na ujinga na upumbuvu uliwajaa wenye matamanio ya kupiga madili.
 
Lissu ametoa pole kwa familia ya marehemu na Watanzania wote, na kusisitiza kuwa huu ni wakati wa kuanza ukurasa mpya. Maana kwa miaka mi tano watu wameuwawa, wameteswa, wamepoteza kazi na wegine wamebomolewa nyumba zao.
Mwambie arudi sasa amalizie moja aliyobakisha ili na yeye apumzike! AU BADO ANAOGOPA KIVULI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…