Tundu Lissu: Nikiwa Mwenyekiti, Heche na Lema wawe na nafasi gani kwenye chama.

Tundu Lissu: Nikiwa Mwenyekiti, Heche na Lema wawe na nafasi gani kwenye chama.

Of course,
Lisu akiwa mwenyekiti wa VIBARAKA wa mabwenyenye ya magharibi eneo la maziwa makuu, Moise Katumbi awe makamu mwenyekiti wake,

nadhani itapendeza zaidi kwasabb anae wabackup ni bwenyenye moja la magharibi..

alowataja wabaki tu kua mercenaries tu 🐒 🐒
Vibaraka ni wale wanaoteka watu, waliouza rasilimali za Taifa kwa Warabu
 
Vibaraka ni wale wanaoteka watu, waliouza rasilimali za Taifa kwa Warabu
wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa, watawabainisha VIBARAKA wa mabwenyenye ya magharibi kwa fedhaha ya kiwango cha juu mno , kabla ya Pasaka 2025🐒
 
Heche awe Makamu Mwenyekiti.
Heche ana roho ya Ujasiri
Kwa Katibu Mkuu tangu Dr.Slaa aondoke bado kuna ombwe la nafasi hiyo.
Wote wawili hawafai kuwa kwa nafasi hiyo ya Ukatibu Mkuu.
 
Mngejua anayeendesha huo ukurasa mngekata tamaa kabisa...ngoja tuseme ni Lissu ili hali ya hewa isichafuke😌
Hata mimi ninawasiwasi na authenticity ya hii page. Ni nani anauendesha? Sidhani kama Lissu ni kichaa kiasi cha kuandika hayo.
 
NDIO KUROPOKA HUKO TUSIKOKUPENDA, MROPOKAJI MPUUZI
Chifu una uhakika kuwa hiyo ni account ya TAL?! Acha makasiriko, pata kwanza authenticity ya hiyo page. Unawezakuta inaendeshwa na wahuni kwa nia ya kuendelea kuchafua hali ya kisiasa CDM.
 
Du sijuhi lumumba patakuwaje???
Watakanyagana kama migambo, kutakuwa na vilio vya kufa mtu kila mtu anapiga kelele ,

NI YEYE, NI YEYE, NI YEYE, NI YEYE, NI YEYE, NI YEYE, NI YEYE, NI YEYE, NI YEYE, NI YEYE.......,....,..........anatuvuruga 🤣🤣🤣🤔🤣😅
 
Tunataka sura Mpya kuna vijana wengi Mtaani wapewe hizo nafasi na wengine wapo chuo
 
Of course,
Lisu akiwa mwenyekiti wa VIBARAKA wa mabwenyenye ya magharibi eneo la maziwa makuu, Moise Katumbi awe makamu mwenyekiti wake,

nadhani itapendeza zaidi kwasabb anae wabackup ni bwenyenye moja la magharibi..

alowataja wabaki tu kua mercenaries tu 🐒 🐒
Mamayenu anayezurura huku na kule kuombeleza atakuwa mpika chapati wa mabwenyenye.
 
Back
Top Bottom