Pre GE2025 Tundu Lissu: Nimewasilisha kusudio la kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA

Pre GE2025 Tundu Lissu: Nimewasilisha kusudio la kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tena Lisu kavumilia Sana kukaa kwenye nafasi zisizokuwa na madhara , kwa sasa hapo CDM nafasi iliyokuwa inamfaa Lisu ni Uenyekiti Tu maana hata Umakamu mwenyekiti wake ulikuwa unazidiwa na nafasi ya Katibu mkuu
 
Tena Lisu kavumilia Sana kukaa kwenye nafasi zisizokuwa na madhara , kwa sasa hapo CDM nafasi iliyokuwa inamfaa Lisu n Uenyekiti Tu maana Umakamu mwenyekiti wakeulikuwa unazidiwa mpaka na nafasi ya Katibu mkuu
Yaani hata naibu Kigaila alimzidi wakati Kigaila ni chawa tu
 
Lissu ni mropokaji tu anatakiwa kuongozwa na si kuongoza.sioni nafasi yake ya ushindi pale CHADEMA.
Lakini anayo haki ya kidemokrasia kugombea nafasi yoyote anayodhani anastahili.Lakini akumbuke kuna wapiga kura watakao amua asije na matokeo yake kichwani hapo atakuwa amefeli saana.
Bila DJ Kamanda Mbowe saa hizi Lissu angekuwa shimo la Tewa !
 
Back
Top Bottom