Tundu Lissu: Nitakwenda Chato, nitamwambia Magufuli amka uone Rais Samia anavyofanya

Tundu Lissu: Nitakwenda Chato, nitamwambia Magufuli amka uone Rais Samia anavyofanya

Sijui anafanya nini.
Wameshafanya assesment, hapa jamvini na huko mitaani na wameshaona hakuna njia rahisi ya kuwafikia wapiga kura.

Na uzuri wa Mh Tundu Lissu amesoma wakati, safari hii, kwamba nyakati zingine kwenye siasa kuna ulazima udanganye kidogo. Matamshi yake ni Ukweli usiopingika na ikibidi, CCM wasikie.

Anafanya siasa?
 
Ni kauli ya mwisho ya kupoteza matumaini. No hope.
Mzee Bwana Tundu huyo ati!

Huwezi ukaisaliti Tanganyika na Usitubu.

Anayo matamanio na matumaini, la hasha, yabidi aya shea na Watnganyika

Pipoooooz, Pipoooooooz

pamoja!
 
Exactly, kuna mambo ya magufuli hayakubaliki, lkn kwa wizi magufuli aliiba kidogo. kwa mfano, kwanini Kampuni ya mayanga construction ilipewa tenda za serikali bila kufuata pendering process...nani alipitisha ujenzi wa chato airport, Chato referl hospita , soko, shule etc etc.
Aliiba lkb samia katia fora ametuuza hata sisi , kesho DP world anaweza kusema nyinyi ni watumwa wangu
Watumwa wake na akavunja na daraja la kigamboni
 
Sasa niwaambie tu kua wale wooote mlieshindana nae kwa hira basi muungane na lissu kwenda chato kuhiji, hata neno lenyewe alilotamka lissu la kuhiji si neno la kawaida, Ni neno la Kimungumungu. Mwende ili nchi ipate amani
....🤔🤔
 
Oyaaa huu uzi ni batili

Haiwezekani John umfananishe na malaika wa Mungu Mwenyezi

Narudia tena haiwezekani maana malaika wamekamilika hawafanyi dhambi

Na mwanadamu dhambi ni hulka yake

Huu uzi ufutwe
 
Back
Top Bottom