Wameshafanya assesment, hapa jamvini na huko mitaani na wameshaona hakuna njia rahisi ya kuwafikia wapiga kura.Sijui anafanya nini.
Anaongoza taasisi kubwa!Jamaa huyu kiboko, kama siasa zenyewe ndio hizo bora tuendelee kushabikia mipira tu, siasa za kutukana viongozi?
Mzee Bwana Tundu huyo ati!Ni kauli ya mwisho ya kupoteza matumaini. No hope.
Siasa uchwara....Anafanya siasa?
😂😂😂 Heri wenye Moyo SafiKarma itamhukumu Lissu vizuri Kabisa....
Watumwa wake na akavunja na daraja la kigamboniExactly, kuna mambo ya magufuli hayakubaliki, lkn kwa wizi magufuli aliiba kidogo. kwa mfano, kwanini Kampuni ya mayanga construction ilipewa tenda za serikali bila kufuata pendering process...nani alipitisha ujenzi wa chato airport, Chato referl hospita , soko, shule etc etc.
Aliiba lkb samia katia fora ametuuza hata sisi , kesho DP world anaweza kusema nyinyi ni watumwa wangu
....🤔🤔Sasa niwaambie tu kua wale wooote mlieshindana nae kwa hira basi muungane na lissu kwenda chato kuhiji, hata neno lenyewe alilotamka lissu la kuhiji si neno la kawaida, Ni neno la Kimungumungu. Mwende ili nchi ipate amani
😀Siasa uchwara.
Hao wa kina Nape hatuwapendi.Mbona wakina Nape wa CCM na Kinana walimtukana Magu na Kinana kwa sasa ni Kaimu mwenyekiti? Lisu point yake iko kwenye kugawa bure mali za Umma
Ukiwa hai tunakusema kwa Mabaya ili ujirekebishe, ukifa hatuna budi kusema mazuri yako watu waya enziLissu ameanza kumkumbuka Magufuli kwa mazuri; ha ha ha[emoji1787]
Mungu alimponya ili aje alikomboe taifa hili lisiangamizwe milele na hawa madalali tulionao.Karma itamhukumu Lissu vizuri Kabisa....
Huu uzi umejaa maneno ya kufuru. Mods wauangalie upya.Oyaaa huu uzi ni batili
Haiwezekani John umfananishe na malaika wa Mungu Mwenyezi
Narudia tena haiwezekani maana malaika wamekamilika hawafanyi dhambi
Na mwanadamu dhambi ni hulka yake
Huu uzi ufutwe