Tundu Lissu: Nitakwenda Chato, nitamwambia Magufuli amka uone Rais Samia anavyofanya

Mhe Tundu Lissu awataka watanzania kujiuliza Rais mpaka kasaini Mkataba wa DP Word amepewa kiasi gani mpaka awauze watanzania bila kuonyesha bei.


#+255KatibaMpya #OkoaBandariZetu
 

Attachments

  • VID-20230729-WA0176.mp4
    17.9 MB
Retired unakumbuka nilisema mwaka 2025 kete ni JPM. CC Erythrocyte umeuona ukweli JPM hakuiba si maneno yangu ni testmony ya Boss wako
 
“Siku moja Mtanikumbuka,na mimi najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya,kwa sababu Nimesacrifice maisha yangu kwa ajili ya Watanzania maskini”
Kauli yake inaishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…