Tundu Lissu: Nitakwenda Chato, nitamwambia Magufuli amka uone Rais Samia anavyofanya

Tundu Lissu: Nitakwenda Chato, nitamwambia Magufuli amka uone Rais Samia anavyofanya

Huu ujinga wenu wa kulazimisha kuingiza wamarekani kwenye hii issue, ili kuwafichia madhambi waarabu muwapendao hauna maana.

Hata kama hamuwapendi wamatekani kwa mambo mengine, msiwasingizie yasiyowahusu, haiwezekani mama yenu aende mwenyewe Dubai kutongozwa huko akatoa bandari zetu, kisha muwasingizie wamarekani.
Ok, hujanisoma vizuri.
Kesho ningeapishwa kuwa Rais Wa nchi hii ningeuchana chana huo mkataba na kuwatupa gerezani wote walioushabikia na kuusaini. Na Akaunti Zao Zote ningezifunga NDANI na nje ya nchi.
Sina ushabiki Kwa MTU yeyote aliyehusika kwenye hili Sakata la aibu la DPW .

Dubai na Amerika ni Kama meno ya juu na ya Chini.
Familia ya mfalme Wa Emirates inauhusiani mkubwa na Amerika . Mpaka ulinzi wake ni Wa Marekani.

DPW wakifanikiwa kuchukua Bandari za Tanganyika Utakua ni ushindi mkubwa sana Kwa Amerika .
Base kubwa ya Kijeshi itakua Rwanda na Kigamboni.
Haya ni mambo makubwa Kuyajua ni Kwa watu wenye maono ya kimungu na kuiona Dunia miaka 200 ijayo.
.

Kumbuka Royal tours ilivyoanza na nani waliokua Nyuma ya ile filam na ilipoenda kuzinduliwa na ziara zilizofuata .
 
Nani kama mwamba.? Hapo chini ni kama anaimba 'Wameinama, Wameinuka' Wanaona haya haooooooooo
71944210ad634b67964e9d840f23d588
 
Lissu ameanza kumkumbuka Magufuli kwa mazuri; ha ha ha[emoji1787]
Tulimpinga Magufuli kwa baadhi ya mambo, hasa zaidi kwa masuala ya demokrasia. LAKINI kwenye kuuza rasilimali za nchi, hakuna hata mtu mmoja anayeweza kuuleta ushahidi wa hilo.

Kuhusu Magufuli kuipenda nchi yake, hakuna mashaka kabisa katika hilo. Na alipenda, kama ingekuwa inawezekana, nchi yetu iwe juu ya nchi yoyote, na alipenda sana kila kitu tufanye wenyewe.

Mapenzi yake makubwa ya maendeleo na kwa nchi, ndiyo ambayo wakati fulani yalimfanya asizingatie sheria, haki za watu au hata demokrasia.

Lakini, kuna wakati ili umwone mtu fulani ni mzuri wa jambo fulani, ni lazima apatikane mbaya katika jambo hilo.
 
Hahahahahaha mjomba Magu akisikia haya maneno atashangaa mnooo huko kaburini
 
Yameze tu MATUSI uliyomtukana Magu,

Badili gea angani kama nyumbu wa Serengeti, hamna namna!!!
Unaweza onyesja alipo sema Magu ni mwizi? Na kwana anapinga hajamtukana? Anacho sema.Magu hakuwa mwizi
 
Duuuuuuu magufuli aiseee anyway Wacha akatubu tu
Hivi nyie wajinga mnamuelewa Lisu? Nchi in vilaza sana hii, Lisu point yake iko kwenye wizi tu kwenye mambo mengine hajabadili msimamo wake.
 
Lissu amegundua, Ili njia yake iwe nyeupe kuelekea kunako,

Anamhitaji Magu amsafishie njia.

Atafanikiwa, kuliko kuungana na kundi la mgaso!!!

Tusubiri.
We kilaza sijui unamuelewa lisu? Point yake iko kwenye kugawa bure mali za nchi basi, kuna seheme Lisu aliwahi tamka Magu ni mwizi? Point yake iko hapo
 
Rubbish, Lisu siyo kuwa anamuunga mkono magufuli, NO, A BIG NO! Ila anasema hakuiba na kama aliiba siyo kiwango cha kuuza bandari zetu. lakini he was instrumental katika kumpiga Risasi Lisu!
Mkuu nchi ina vilaza mavi wengi sana, hawaelewi,
 
Tulimpinga Magufuli kwa baadhi ya mambo, hasa zaidi kwa masuala ya demokrasia. LAKINI kwenye kuuza rasilimali za nchi, hakuna hata mtu mmoja anayeweza kuuleta ushahidi wa hilo.

Kuhusu Magufuli kuipenda nchi yake, hakuna mashaka kabisa katika hilo. Na alipenda, kama ingekuwa inawezekana, nchi yetu iwe juu ya nchi yoyote, na alipenda sana kila kitu tufanye wenyewe.

Mapenzi yake makubwa ya maendeleo na kwa nchi, ndiyo ambayo wakati fulani yalimfanya asizingatie sheria, haki za watu au hata demokrasia.

Lakini, kuna wakati ili umwone mtu fulani ni mzuri wa jambo fulani, ni lazima apatikane mbaya katika jambo hilo.
Ha ha ha unafiki haunaga aibu.
 
Bandari haijauzwa punguzeni mbwembwe. Leo lissu amkubali magufuli kuzidi wana ccm huu ni usanii ndani ya jumba la sanaa. [emoji1787][emoji1787]
 
Anadhani atamtoa Rais samia kwenye reli kwa kutumia kete ya jina la mtu aliyemtukana na kumdhihaki kwa kila lugha achilia mbali kumtuhumu kutaka kumuuwa? Kalagabahoo
 
Unabishana na mm au Lissu aliyesema ktk video anaenda kutubu na kuomba msamaha chato?

Au bundle ni Tatizo!!
Wewe n ni kilaza sana. Lisu point yake iko kwenye kugawa Mali za Umma kama njugu, Wajinga mnasapoti Warau utazania kuna kitu mtapata, wenzako Account zisha soma
 
Back
Top Bottom