Mku umesema nilichokuwa nakiwaza. Uenda Lissu anaomba huko kwa Wazungu kazi ya kuwatetea kwasababu yeye ni mwanasheria akidai kwamba anaifahamu vizuri Tz ataigalagaza. Labda hizo kesi zingine Lissu atashinda lakini kule ACCACIA alishindwa shida yeye hata mteja wake akishindwa kesi Lissu pesa harudishi. Ngoja tule pesa ya wazungu hakuna kuwaonea huruma.Halafu unaweza kukuta yeye ndio wakili wa hizo kampuni 3, wakili hachagui mteja 😀
Anyway, I think some people wanted Barrick to drag the government to the court of arbitration. It has never happened, the story is being twisted
Kesi gani inayozungumziwa sasa?Unapelekwa mahakamani kama mtu kapoteza, sasa hayo makampuni yaende mahakamani kwani wamepoteza nini? Maana kama ni madini bado wanachimba na faida wanapata. Kwenda mahakamani ili kudai nini?
Mku umesema nilichokuwa nakiwaza. Uenda Lissu anaomba huko kwa Wazungu kazi ya kuwatetea kwasababu yeye ni mwanasheria akidai kwamba anaifahamu vizuri Tz ataigalagaza. Labda hizo kesi zingine Lissu atashinda lakini kule ACCACIA alishindwa shida yeye hata mteja wake akishindwa kesi Lissu pesa harudishi. Ngoja tule pesa ya wazungu hakuna kuwaonea huruma.
Hakukuwa na kesi; ndege ilishikiliwa kwa muda kusudi mahakama ione kama kuna grounds za kesi kwa vile iwapo ndege ingeondoka kabla ya mahakama kupitia maombi yake, kungekuwa na irrepairable damage. Baada ya mahakama kupitia maombi yake, wakaona kuwa kesi haikuwa na grounds, wakaiachia bila kuwa na session yoyote ya mahakama. Hakukuwa na upande wa ulalamikaji wala upande wa utetezi kwa vile haukukuwa na kesi; ndio maana moja ya kesi kuwa dismissed kwa kutokuwa na ground; siyo kuwa ilikuwa dismissed baada ya pande zote kusikilizwa bali ilikuwa dismissed bila kusikilizwa.Nimeangalia tena ile kesi ya Canada. Ilitolewa taarifa tuu kuwa imeachiwa bila maelezo ya kuwa imeachiwa vipi. Ingekuwa kesi ilikuwa dismissed tungeambiwa tena kwa sauti kubwa. Inaelekea palikuwa na settlement ikiambatana na makubaliano ya pande zote kutozungumzia suala hilo in public.
Amandla....
Hakukuwa na kesi; ndege ilishikiliwa kwa muda kusudi mahakama ione kama kuna grounds za kesi kwa vile iwapo ndege ingeondoka kabla ya mahakama kupitia maombi yake, kungekuwa na irrepairable damage. Baada ya mahakama kupitia maombi yake, wakaona kuwa kesi haikuwa na grounds, wakaiachia bila kuwa na session yoyote ya mahakama. Hakukuwa na upande wa ulalamikaji wala upande wa utetezi kwa vile haukukuwa na kesi; ndio maana moja ya kesi kuwa dismissed kwa kutokuwa na ground; siyo kuwa ilikuwa dismissed baada ya pande zote kusikilizwa bali ilikuwa dismissed bila kusikilizwa.
Inawezekana kweli ilikuwa hivyo lakini shaka yangu ni ukimya wa serikali kuhusu namna kesi hiyo ilivyotupitiliwa mbali ilipoonekana mkulima hana grounds. Hizi sababu ndio kwanza nazisikia kwako na sina sababu ya kutokukuamini. Lakini kweli tumshinde mbaya wetu na tusiwaambie watanzania kwa sauti kubwa kuwa tumemkata maini mbaya wetu?
Amandla...
Ulitembelea camping sites na hotels zote?barabarani unakutana nao wachache tu,hiyo njia nimepita sana hata before Magufuli, halafu vivutio sio kwamba vipo serengeti na ngorongoro tu,kuna walioenda sehemu tofauti Mf Zanzibar as hobbies ni tofauti pia.Nilishangaa kufika Serengeti na Ngorongoro watalii hawafiki hata ,20 niliokutana nao huku alisema ndege zimejaa booking hadi mwezi wa nane
Nina wasiwasi kama kweli umefika Serengeti na kuhesabu idaii ya wataliii. Hizo cheap politics ndizo nyepesi sana kudharauliwa mapema sana. je; ni kweli ulifika Serenegeti na sehemu zote za watalii uakawaita watalaii wote waliokuwepo ili uwahesabu. Unadhani kwenye mashirka ya ndege ya uhakika kam Eithiopian wanaweza kurusha ndege yao tupu kuja Tanzania kwa sabau za kisiasa bila kuwa na abiria wa kutosha?Nilishangaa kufika Serengeti na Ngorongoro watalii hawafiki hata ,20 niliokutana nao huku alisema ndege zimejaa booking hadi mwezi wa nane
Amka kesho twende tuwahesabuNina wasiwasi kama kweli umefika Serengeti na kuhesabu idaii ya wataliii. Hizo cheap politics ndizo nyepesi sana kudharauliwa mapema sana. je; ni kweli ulifika Serenegeti na sehemu zote za watalii uakawaita watalaii wote waliokuwepo ili uwahesabu. Unadhani kwenye mashirka ya ndege ya uhakika kam Eithiopian wanaweza kurusha ndege yao tupu kuja Tanzania kwa sabau za kisiasa bila kuwa na abiria wa kutosha?
Sina muda huo; ila njia rahisi ni kutafuta menifesto aya Ethiopian Airlines iliyowaleta ujue ilikuwa na watu wangapi wa kutoka sehemu zipi. Halafu siyo kila mtalii huwa anakwenda Serengeti; ndiyo maana unatakiwa uwe na sensa kamili ya mbuga na vivutio vyote siyo ya Serengeti tu. Kuna muda Serenegti huwa haina watalii sana kwa vile wanyama wengi huhamia Kenya.Amka kesho twende tuwahesabu
@ZALEMDA , nahisi wewe ni mdada.Kwa hiyo anafurahi kushtakiwa kwa nchi yake?na amejuaje kama hahusiki?dah!!
We jamaa sijui unawazaje! Nani amekwambia Ethiopian inajaza watalii pekee kwenye ndege yao?Nina wasiwasi kama kweli umefika Serengeti na kuhesabu idaii ya wataliii. Hizo cheap politics ndizo nyepesi sana kudharauliwa mapema sana. je; ni kweli ulifika Serenegeti na sehemu zote za watalii uakawaita watalaii wote waliokuwepo ili uwahesabu. Unadhani kwenye mashirka ya ndege ya uhakika kam Eithiopian wanaweza kurusha ndege yao tupu kuja Tanzania kwa sabau za kisiasa bila kuwa na abiria wa kutosha?
We jamaa sijui unawazaje! Nani amekwambia Ethiopian inajaza watalii pekee kwenye ndege yao?
Akili yako inakutuma kuwa kila anaekuja Tz ni mtalii. Hauhesabu wanaorudi nyumbani? Wanaokuja kibiashara? Maswala ya dini , serikali nk?
Ndege ikitua tu we unajua wanaoshuka wote ni watalii. [emoji3][emoji3][emoji3]
Empty setNarudia kusema kuwa Lissu ni chaguo la watanzania woote.
Kama wewe siyo mtanzania sawa.