..hakuna kesi kwasababu serikali ilisalimu amri kwa barrick.
..serikali ilisema acacia/barrick wanadaiwa usd 191 billion.
..acacia akafungua kesi kupinga madai hayo.
..serikali ikaanza majadiliano na barrick ambao ni majority shareholders wa acacia.
..serikali ikakubali kuachana na madai yake na kukubali kulipwa "kishika uchumba" cha usd 300 million.
..sasa usd 191 billion vs 300 million, ni sawa na kudai usd 636 halafu ulipwe usd 1.
..hakuna BEBERU linaweza kukataa offer ya namna hiyo ikizingatiwa limeishakunyonya vya kutosha.
cc
tindo,
Nguruvi3,
jmushi1